mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,912
- 8,639
Punguza uchawa basi na mitakwimu ya kubumba bumbaKwa hiyo wewe ukiyekosoa umefanya kipi tangible Ili wengine wajifunze? Au unapanua domo tupu?
Punguza uchawa basi na mitakwimu ya kubumba bumbaKwa hiyo wewe ukiyekosoa umefanya kipi tangible Ili wengine wajifunze? Au unapanua domo tupu?
Wewe kibwengo huwaga huna hoja achana na mimi! Bashe na bibi yenu si ndo walifungulia mipaka mchele ukauzwa wote Bashe huyo huyo akatoa vibali kuagiza mchele kutoka nje!Bashe ndio aliagiza?
Kwani mipaka imefungwa Sasa hivi? Kilimo ni biashara wewe tumbili jike, mkulima hayupo kukuza likitambi lako elewa Hilo.Wewe kibwengo huwaga huna hoja achana na mimi! Bashe na bibi yenu si ndo walifungulia mipaka mchele ukauzwa wote Bashe huyo huyo akatoa vibali kuagiza mchele kutoka nje!
Hapo unaona kuna akili au ujinga?
Hapo nonsense ni wewe au mimi?I can't beat your stupidity and nonsense
Jibu swali,umefanya kipi Cha maana Ili waje kujifunza? Au unapanua domo tuu ilimradi umeropoka?Punguza uchawa basi na mitakwimu ya kubumba bumba
Ni wewe tikiti majiHapo nonsense ni wewe au mimi?
Mpuuzi kweli hicho kingereza uchwara ndo unanitishia mimi?
Hata huyo waziri wako wa Very danger huwa anamaneno na misamiati uchwara isiyo na matokeo!
Ma looser yanaona aibu 😜😜.
Bora ya tikiti maji ni chakula wewe ni pimbi usiyejitambua!Ni wewe tikiti maji
WaBongo, sisi waTanzania ni shida.Kuhusu wizi ni kweli, kama dawa yatakiwa iwekwe 5lts kutosha shamba zima basi ataweka 500mil afu 4.5lts atauza
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Pimbi ni chakula wewe ni toilet paperBora ya tikiti maji ni chakula wewe ni pimbi usiyejitambua!
Kazi yako kushabikia ujinga unaofanyika na utawala huu unaofanya mambo shagarabagara tu!
Ngano, alizeti tutakula wenyewe, na hii itaokoa fedha za kigeni tunazoagiza ngano toka russia na ukraine,Nitajie masoko watakakouza hayo mazao
Hivi Serikali inaweza anzisha project ya kilimo Cha umwagiliaji na isijue maji ya umwagiliaji yatapatikana wapi!?Mbona project nyingi zimeanzishwa na serikali zimefeli?
Kosa si la Bashe bali wale walioteua Msomali pamoja na ukweli kuwa wasomali wanatubagua na kutubagua sawa na waarabu na wahindi na wazungu japo wao ni wamakonde wenzetu tena wenye sura mbaaaaaxxxya kuliko zetu.Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Huyu msomamli ni tapeli sn lakini watu hawamjui amejificha kwenye udini na bahati nzuri bibi tozo ni mdini mzuri hivyo wanaenda vizuri snNi tapeli makini sna Ni tapeli haswa
Imagine aliuza nyakula nnje ya nchi yye huyo huyo amekwenda kuagiza tani elf90 za Michele vatcan hyo Ni akili au matope
Anakuja kitulisha mmavyakul vya nnje huku tumeuza yetu kwa Bei za kupwa
Siku nilivyosikia wazir prof mkenda akimvimbia Bashe na kumuita mjinga ndio nimeamini kuwa jamaa Ni mpiga debe
Eti anasema atazalisha mabilionear 100 had kufika 2030
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Msomali ni tapeli haswa, sema udini na mfumo unambeba lakini ni mpiga dili haswaJana nimemsikia Mama akimpiga mkwara juu ya matumizi ya Fedha za Kilimo anazozitoa,nadhani atakua katonywa kuwa anapigwa!
Ni kweli lkn kuna vitu vya msingi kuangalia kabla ya kuanza safari ukivipuuza hufiki popote mfano, kwenye gari huwezi kuanza safari bila kuangalia mafuta, maji, oil, break indicators nk.Sio rahisi kuanza na vyote, na kila safari huanza na 0 km.