hiyo miundo mbinu ya maji,wataalamu vipo huko vijijini?je vijana waliishaandaliwa kisaikolojia kwenda kulima huko vijijini.?Kubwa zaidi ni miondombinu ya barabara na umwagiliaji huko vijijini kwa wakulima

Mleta mada naona kama umenuna vile ndo sababu umeandika "pessimism". Watu wa JPM bwana, wnashangaza.Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Tanzania nchi yangu, bashe amefanya nini cha ajabu Hadi unasema hivyo? Nikuulize jambo, amefikia wapi mbolea za Ruzuku? Unajua kilichotokea?Pamoja na mapungufu kidogo ya Bashe, bado mimi ndio naona ndiye waziri bora wa kulimo toka tupate uhuru,na atakipeleka kilimo katika viwango vikubwa sana.
Swali langu ni wapi amefanikisha suala la mbolea ya ruzuku? Hili limeshamshinda tayari,bashe tumpe muda he can make it watanzania tuache kubeza kila kitu wewe mtoa mada ukipewa hii nafasi utafanya nini tuache roho za kimaskini
kwanza hujausoka huo mkakati wa kilimo unaosimamiwa na basheInasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Ukiachana na huu mpango, mwaka Jana yeye na raisi walizindua mpango wa mbolea ya ruzuku. Unajua kwa nini imefeli? Alafu hata hazungumzi tena kuhusu mbolea ya ruzuku ya 70000 Kama mwanzo alivyosemaUngewekeza kutuonesha ubaya wa hiyo programme iliyozinduliwa jana na Rais tuone udhaifu wake, lakini sio kuleta habari za mapinduzi ya elimu ya kilimo, utafiti, viwanda...
Hayo yote uliyoorodhesha yako nje ya huo mpango, kwangu bado sijaona tatizo la hiyo programme, nasubiri mpaka pale watakapovuna kisha nione wakulima watafaidika vipi.
Mbona project nyingi zimeanzishwa na serikali zimefeli?Hivi huwa mnawashwa tu kuanzisha Uzi au!?...serikali inaweza kuanzisha project Kama hiyo bila kuchanganua mambo!?
kwanza hujausoka huo mkakati wa kilimo unaosimamiwa na bashe
Mbona project nyingi zimeanzishwa na serikali zimefeli?
huyu mama tozo anasifiwa mpaka unasikia kero nataka kutapika sifa zimezidi kuliko juhudi hatuoni maendeleo yoyote
Zaidi ya Chuki hakuna Cha maana umeandika.Watu kama nyie ambao ni looser mnatakiwa kupuuzwa.Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Bajeti ya wizara ya kilimo ni bil 950?? Huu ni uongoZaidi ya Chuki hakuna Cha maana umeandika.Watu kama nyie ambao ni looser mnatakiwa kupuuzwa.
1.Miaka ya Leo haihitaji walimu wa agriculture wasio hata na shamba darasa ndio maana waliofundishwa na.hao walimu hakuna kitu wamefanya..
Elimu ya Sasa itafundishwa na watu walioko kwenye field Kwa kwenda kuona na kurudi kufanya practice.
2.Eti utafiti,Kwa taarifa Yako Serikali imeongeza Bajeti ya utafiti mara 6 zaidi ya ilovyokuwa hapo nyuma,inafufua mashamba ya utafiti,inatoa Vitendea kazi na inatoa mafunzo Kwa watafiti, Bajeti ya Kilimo Bil.950 Kuna pesa ya utafiti humo.
Kama mlishindwa huko awali ni nyie.
3.Hiyo namba 3 umeandika ujinga,kwani bila hiyo ZZK farm equipments hazipatikani? Serikali Kwa kushirikiana na private sector inawezesha ujenzi wa viwanda vitakavyochukua mazao ya wakulima na kuyaongeza thamani..
4.Aliyekwambia watu wote wanalazimishwa kwenda Dom ni nani? Ukiona hata form ya maombi au unapayuka upuuzi wako tuu?
Kwa taarifa Yako Kila muombaji alitakiwa kuomba kwenye eneo lake,hapo wameanza na watu wa Dodoma aila kuna.ekari 600,000 Nchi nzima na kote huko Vijana watafikiwa hatua Kwa hatuo,pilot project ndio imeanzia Kwa watu wa Dodoma na mazao yatakayolimwa ni Yale yanayokubali eneo husika na soko la uhakika.
5.Taasisi zimeandaliwa kuanzia wawezeshaji wa kipesa kama banks eg Benki ya rasilimali unapata mkopo wa riba ndogo na unapewa mda wa matazamio kulingana na mazao unayozalisha.
Regulators wengine nao wanafuata hivyo hivyo
Mwisho mazao mengi yatayozalishqa ni Yale ambayo tayari Yana soko,yaani kiufupi kinachofanyika ni contract farming.View attachment 2560555
Ulitowa fedha za jufikisha huo mradi kila mkoa?Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Nilishawahi kusema kuwa Ile bajeti ya Bilioni 900 inapaswa apewe TARI kwaajili ya utafiti na siyo kusema ndiyo bajeti ya Kilimo!Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Hii bajeti ya wizara ya kilimo ya bil 900 ni ya wapi? Bajeti ya wizara ya kilimo ni bil 750Nilishawahi kusema kuwa Ile bajeti ya Bilioni 900 inapaswa apewe TARI kwaajili ya utafiti na siyo kusema ndiyo bajeti ya Kilimo!
Hii nchi kama tunataka kufanya Mapinduzi ya kweli kwenye Kilimo basi at least kwa kuanzia 5% ya bajeti ya nchi iende kwenye Kilimo na iwe inaongezwa mwaka hadi mwaka mpaka tufikie 10% nakuendelea.
Huyo Bashe mwenyewe Kilimo anakijulia wapi?
Jana nimemsikia Mama akimpiga mkwara juu ya matumizi ya Fedha za Kilimo anazozitoa,nadhani atakua katonywa kuwa anapigwa!Bashe ni tapeli anapiga pesa haswa huko, kubwa ambalo analifanya ni kumsifia bibi tozo naye ni mpenda sifa kichwa kina vimba haswa