dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,776
Niutapeli huu unafnywa wa wasiwas na miradi ya huyu mwamba
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo wewe ukiyekosoa umefanya kipi tangible Ili wengine wajifunze? Au unapanua domo tupu?Lakini awe msikivu anapokosolewa sio awe anawasikiliza Chawa zaidi maana wale wapo kwa maslahi yao sio ya Nchi !!
Wewe unajua hayo kuliko Wataalamu walio design hiyo model? Kwa akili Yako unajua wamekurupuka? Au unadhani wanategemea mvua ?Block farming ilitakiwa uangalie eneo fulani linakubali mtama, wezesha watu wa huko waime huo mtama, na eneo fulani linakubali vitunguu wezesha huko watu watalima kwa wingi, shida za kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi ni hatari sana
Wewe matakle nini? Waulize demu wako na dada zako, msaada wanaokupatia huwa wanautoa kwa nani yao.Huna lolote,wewe ulichoweza ni kipi?
Huna lolote zaidi ya Kulamba lololo,Cha maana ulichofanya kwenye kilimo Ili watu wajifunze ni kipi? Au unaropoka tuuWewe matakle nini? Waulize demu wako na dada zako, msaada wanaokupatia huwa wanautoa kwa nani yao.
Usijipe kiburi cha fake ID ukidhani umejificha kumbe tunakuchora tu.
Endelea kugawanyika makalio tu. Na wewe ukipendwa usije ukalalamikaHuna lolote zaidi ya Kulamba lololo,Cha maana ulichofanya kwenye kilimo Ili watu wajifunze ni kipi? Au unaropoka tuu
Huna content boya weweEndelea kugawanyika makalio tu. Na wewe ukipendwa usije ukalalamika
Ni tapeli makini sna Ni tapeli haswaBashe ni tapeli anapiga pesa haswa huko, kubwa ambalo analifanya ni kumsifia bibi tozo naye ni mpenda sifa kichwa kina vimba haswa
Mimi boya kweli, subiri uone nitakavyo kubonyezaHuna content boya wewe
Bado anaendelea kukalia ofisi kwa heshima ya Godfather wake bwana Aziz,tofauti na hapo anapuyanga tu.Rais kama taasisi Iko Very smart, Inajua Michezo yote ya Bashe hata mama kuunda kamati maaalum tena Huru imshauri kuhusu Swala la Chakula na Kilimo ni Red light kwa Bashe na Team yake hapo Wizarani
Looser wewe kichwani umejaa matopeMimi boya kweli, subiri uone nitakavyo kubonyeza
Alfu eti anakwenda kutuagizia mchele vatinamu huku wa kwetu tumeuuza kw Bei Chee mno Ni waziri mjinga kuwai kuwepo Toka serekali ziazishweBashe akiendelea kuwa Waziri wa Kilimo, mchele na mahindi yote yatasombelewa na kupelekwa Somalia na Kenya kila mwaka.
Wakati wa mavuno, atawaleta ndugu zake wafanyabiashara kuja kununua mazao ya wakulima kwa bei chee kwa kisingizio cha soko huria, na mwisho wa siku kuendelea kutusababishia mfumuko wa bei katika bidhaa za chakula.
BasheBado anaendelea kukalia ofisi kwa heshima ya Godfather wake bwana Aziz,tofauti na hapo anapuyanga tu.
Inaonekana umeanza kunielewa, endelea tu kudonoa hayo mahindi kuja usawa huu nikufunike na kikapuLooser wewe kichwani umejaa matope
Bashe ndio aliagiza?Yaani mimi ile siku wanatangaza kuagiza tani 90 za mchele ndo nilijua kabisa kile kichwa Bashe amekibeba tu kinachosha misuli ya shingo! Yaani ujinga ujinga tu!
I can't beat your stupidity and nonsenseYaani mimi ile siku wanatangaza kuagiza tani 90 za mchele ndo nilijua kabisa kile kichwa Bashe amekibeba tu kinachosha misuli ya shingo! Yaani ujinga ujinga tu!
AnajitajidPamoja na mapungufu kidogo ya Bashe, bado mimi ndio naona ndiye waziri bora wa kilimo toka tupate uhuru,na atakipeleka kilimo katika viwango vikubwa sana.