Bashe unaji-critisize mwenyewe. [emoji23]Huu ni ukweli uliowazi anadhamira njema ila tatizo wataalamu wetu wana read minds za wanasiasa badala ya kutoa technical assistance so anakuwa mislead kwakua wakati mwingine wataalamu wanatoa options ambazo hazipo viable wala si sustainable.
Pengine ni incapacity aliyoiona mstaafu CAG wetu Prof. Assad, kwenye technical personnel yetu, then kama nchi tunatakiwa kuwa makini kuliko kumwingiza Mh. Rais na wananchi kwenye crisis za mara kwa mara kwakupeleka models ambazo hazijahakikiwa at action research levels kujua pros and cos zake kwenye country level; implementation kama vile tozo zilivyo sababisha sintofahamu mpaka leo.
Ruzuku ya mbolea yeye si ndo aliyepandisha bei ya mbole alafu anapitia mlango wa nyuma kupitia ruzuku tatizo kubwa la watanzania ni wasahaulifuSidhani kama uko sahihi labda kama wewe ni muumini wa miujiza huyu huyu bashe ambaye amepambana hadi serikali inarudisha Ruzuku ya mbolea baada kuondolewa wakati JPM bado unasema mbovu,Leo wakulima wa mahindi wanaofuraha ya juhudi zao.Hatuwezi kuridhika wote lakini at least Kuna watu wanafurahia juhudi zao.
Umesema uongo. Sababu ya ruzuku kuwekwa ni kutokana na bei ya mbolea kupanda kutoka 70000 hadi 150,000. Na sababu zilizotolewa mbolea kupaanda bei ni Vita ya Ukraine na ugonjwa wa Corona. Ruzuku ilipowekwa ndio mbolea ikarudi bei ya 70000 kama awaliSidhani kama uko sahihi labda kama wewe ni muumini wa miujiza huyu huyu bashe ambaye amepambana hadi serikali inarudisha Ruzuku ya mbolea baada kuondolewa wakati JPM bado unasema mbovu,Leo wakulima wa mahindi wanaofuraha ya juhudi zao.Hatuwezi kuridhika wote lakini at least Kuna watu wanafurahia juhudi zao.
Yes, kuwezesha wakulima wa maeneo hayo kwa elimu, pembejeo, na masoko lingekuwa jambo muhimu zaidi, na lingehamasisha wengine kuingia kwenye kilimo.Block farming ilitakiwa uangalie eneo fulani linakubali mtama, wezesha watu wa huko waime huo mtama, na eneo fulani linakubali vitunguu wezesha huko watu watalima kwa wingi, shida za kuingiza siasa kwenye mambo ya msingi ni hatari sana
Kwa hiyo tusianze hadi hayo yakamilike?!? Hapana wewe alipaswa kuja na kasema ktk hap iliopo wewe utafill gap gani.Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Unamuona Bora kwakuwa mawazir wengi ni vilaza, hata huyo ni kilaza ila ana nafuu ukilinganisha na waliokuwepo.Pamoja na mapungufu kidogo ya Bashe, bado mimi ndio naona ndiye waziri bora wa kilimo toka tupate uhuru,na atakipeleka kilimo katika viwango vikubwa sana.
Ndio ubora wenyewe mkuu,huwezi kusema kitu ni bora kama hujaona feki ausio.Unamuona Bora kwakuwa mawazir wengi ni vilaza, hata huyo ni kilaza ila ana nafuu ukilinganisha na waliokuwepo.
chawi wa kilimo kikubwa Tanzania ni sera ya ardhi. Ardhi ni mali ya serikali wakati ni nyenzo muhimu katika kilimo. Mara utasikia miaka 33, 66 au 99 lakini bado ni ardhi ya rais akitaka muda wowote anachukua, wacha serikali ilime yenyewe.Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.
Bashe anazungumzia Block za Kilimo mara mapinduzi ya kilimo, hii ni hadaaa kubwa sana.
Huwezi zungumzia Mapinduzi ya Kilimo bila kuanza kuhakikisha vitu vifuatavyo;
1. Mapinduzi ya Elimu ya Kilimo- Kwa sasa kuna uhaba wa walimu wa Agricultire zile shule za michepuo ya kilimo zimebakia jina tu hakuna tena ile nguvu ya shule za Kilimo kama ilivyo kuwa enzi zile.
Vyuo vya kilimo- Tembelea vyuo hivi ya kilimo unaweza lia, vyuo ni tamabakia magofu tupu pale, Majengo choka mbaya, Wakufunzi wenyewe ni walisha kata tamaa, hakuna vifaa ya kujifunza na kufundishia.
Kama hujawekeza kwenye Elimu ya Kilimo, hayo pinduzi yanaletwa na nani?
2. Utafiti- Still bado hakuna uwekezaji wa maana kwenye utafiti wa mambo ya kikimo, taasisi za utafiti zina pesa tu ya kawaida.
3. Mapinduzi ya viwanda vya Kilimo ambavyo sana vitasababishwa na mapinduzi ya elimu za kilimo
Dhana za kilimo tunazo tumia asilimia 100 tunaagiza nje, wapi ile ZZK Mbeya? Si waliaha badilisha kuwa kiwanda cha Pombe?
4. Huwezi force watu wote vijana wakusanyike Dodoma na Kigoma kulima mazo mnayo taka nyie,
Kuna Kijana anataka kuwekeza labda kulima Tangawizi yuko Same huyu hana namna anapaswa kwenda kulima alzeti Dodoma kwenye zile Block.
Kijana yuko Rombo anataka kuwekeza zaidi kwenye kilimo cha migomba na yeye aende Dodoma?
Kijana yuko Rungwe pia huko Mbeya anataka kulima ndizi vipi aende Dododma.kwenye Block?
5. Je taasisi zote za Serikali zimeandaliwa kusapoti kilomo? Kuna Policy zimeandaliwa na wanapaswa kusaini? Ili basi wasapoti mapinduzi ya kilimo au ni hadaaa?
Vipi Policy ya TANESCO kuhusu kusapoti kililimo inasemaje?
Vipi policy ya TBS kwenye kukuza kilimo?
Vipi Policy ya mamlaka my be za maji safi na maji taka?
Vipi Policy ya Jeshi la Police hasa Trafiki, je wana mwongozo wa kusaidia kilimo hasa zile swagwa zao za kusimamisha simamisja magari hata yanayo wahisha mazao ya kilomo sokoni?
Commercial Bank kuna sehemu wanabanwa ili wasapoti Kilimo? au ni uamuzi wao?
Kama policy zipo je zisipo tekelezwa kuna watu wanawajibishwa?
Mapinduzi ya kilimo sio aina hio tunayo aminishwa na Bashe hapo, bado sana
Hawa ndiyo walioandaa BBT Project.Carol Ndosi na Kilimo wapi na wapi!!!Inasikitisha sana hii nchi mtu anaweza Danganya hadi Maproff na wakaaa kimya ila ukweli wanaujua.

Akili ndogo hiii haiwezi mambo makubwa utani kabisa huuu yaaaniKama bado unaishi nyumbani huwezi nielewa ukikua utanielewa
Hawanunui kwa bei nafuuu unatakiwa kujua ,kuwa bei yamazao ya chakula hutegemea pia hali ya hewa mzee ...nb kulima ni kazi ngumu acha tupate hela ni muda wetu huuuUkitaka kila mtu aende shambani akalime, huduma nyingine katika jamii atatoa nani?
Maisha katika jamii yoyote ile hutegemeana! Na ndiyo maana kuna kitu kinaitwa specialization.
Serikali iache kutumia njia za mkato na pia kukwepa majukumu yake ya msingi. Yaani kuwaumiza watu wa kundi fulani, kwa lengo la kuwafurahisha watu wa kundi lingine.
Jukumu kuu la serikali ni kuwasaidia wananchi wake wote kuishi/kuyafikia maisha bora.
Waangalie changamoto zinazowakumba wakulima, ili mwisho wa siku wazalishe mazao kwa kutumia gharama ndogo! Na hivyo bei ya chakula pia kuwa rafiki wa wanunuzi.
Hiki kitendo cha kuruhusu wafanyabiashara kutoka Kenya, kuja kununua mazao ya wakulima shambani kwa bei nafuu, na mwisho wa siku kusababisha bei ya chakula kupanda mara dufu, kinaifanya serikali ionekane ni useless kwa wananchi wake.
Ujing tu wakulima hawahitaji hayo matakataka unayo yaita elimu tunataka masoko tyu kama hivi wakenya wananunua mazao yetuMheshimiwa Bashe atakiwa aje hapa JF akujibu masuali yako maana yote ni mazito na yenye nguvu kubwa.