Rais Samia ana elimu gani?

Rais Samia ana elimu gani?

Narudia, hakuna watu wanaopata tabu duniani kwa Sasa kama haters wa Samia. Aisee hawa watu wapo tabuni kiukweli😀😀😀
 
Ndiyo wale ukiwauliza cheti Chao cha elimu au kitambulisho "wanakuchomelea condom kwenye pochi"😁
Nafikiri hili ndio lengo la mleta uzi yaani bullying kwa bibi. Mwanaasha Mchengerwa. 😂😂
1775669475519.jpg

Hapa Bibi. Mwanahela Mchengerwa a.k.a Dr wa Manesi akiwa havai "HIJAB" akiwa anapiga nyagi kwa kwenda mbele.
 
Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
ELIMU NA MAFUNZO

Mhe. Samia Suluhu Hassan alipata elimu ya msingi katika shule mbalimbali, zikiwemo Shule ya Msingi Chwaka iliyoko Unguja kuanzia 1966 hadi 1968, Shule ya Msingi Ziwani mwaka 1970 na Shule ya Msingi Mahonda mwaka 1972. Baada ya hapo, alijiunga na Shule ya Sekondari ya Ng’ambo kwa ajili ya masomo ya Kidato cha Kwanza hadi cha tatu, na Shule ya Sekondari Lumumba kwa ajili ya Kidato cha Nne kati ya mwaka 1973 hadi 1976.

Mwaka 1983, alipata Astashada katika Mafunzo ya Takwimu kutoka Chuo cha Uchumi, Zanzibar. Baada ya kufanya kazi kwa kipindi kifupi kwenye Wizara ya Mipango na Maendeleo, mwaka 1983 hadi 1986, alijiunga na Chuo cha Maendeleo ya Uongozi Mzumbe (IDM) kwa ajili ya masomo ya juu katika Utawala wa Umma. Aidha, alipata mafunzo mbalimbali katika Taasisi ya Chuo cha Utawala wa Umma Lahore, Pakistan 1987, Taasisi ya Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) 1991, na Taasisi ya Uongozi ya Hyderabad India 1998 kwa ajili ya Astashahada ya Utawala. Baada ya hapo, alijiunga na Chuo Kikuu cha Manchester kilichopo Uingereza kwa ajili ya masomo ya Juu ya Uchumi. Vilevile, alipata Shahada ya Uzamili ya Maendeleo ya Jamii kupitia programu ya pamoja kati ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire, Marekani.
Chanzo: Ikulu | Wasifu
 
Nafikiri hili ndio lengo la mleta uzi yaani bullying kwa bibi. Mwanaasha Mchengerwa. 😂😂
View attachment 3569746
Hapa Bibi. Mwanahela Mchengerwa a.k.a Dr wa Manesi akiwa havai "HIJAB" akiwa anapiga nyagi kwa kwenda mbele.
Ndo mlichobaki nacho Sasa baada ya kufeli Kila sehemu. Poleni sana, huyo ndo Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.
 
ELIMU NA MAFUNZO

Mhe. Samia Suluhu Hassan alipata elimu ya msingi katika shule mbalimbali, zikiwemo Shule ya Msingi Chwaka iliyoko Unguja kuanzia 1966 hadi 1968, Shule ya Msingi Ziwani mwaka 1970 na Shule ya Msingi Mahonda mwaka 1972. Baada ya hapo, alijiunga na Shule ya Sekondari ya Ng’ambo kwa ajili ya masomo ya Kidato cha Kwanza hadi cha tatu, na Shule ya Sekondari Lumumba kwa ajili ya Kidato cha Nne kati ya mwaka 1973 hadi 1976.

Mwaka 1983, alipata Astashada katika Mafunzo ya Takwimu kutoka Chuo cha Uchumi, Zanzibar. Baada ya kufanya kazi kwa kipindi kifupi kwenye Wizara ya Mipango na Maendeleo, mwaka 1983 hadi 1986, alijiunga na Chuo cha Maendeleo ya Uongozi Mzumbe (IDM) kwa ajili ya masomo ya juu katika Utawala wa Umma. Aidha, alipata mafunzo mbalimbali katika Taasisi ya Chuo cha Utawala wa Umma Lahore, Pakistan 1987, Taasisi ya Eastern and Southern African Management Institute (ESAMI) 1991, na Taasisi ya Uongozi ya Hyderabad India 1998 kwa ajili ya Astashahada ya Utawala. Baada ya hapo, alijiunga na Chuo Kikuu cha Manchester kilichopo Uingereza kwa ajili ya masomo ya Juu ya Uchumi. Vilevile, alipata Shahada ya Uzamili ya Maendeleo ya Jamii kupitia programu ya pamoja kati ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na Chuo Kikuu cha Southern New Hampshire, Marekani.
Chanzo: Ikulu | Wasifu
Haters hawaoni hapa!
 
Hizi elimu zake zimekaa kimchongo mchongo tu 😂
Kama amesoma kote huko mbona anaonekana reasoning yake ndogo sana? Au ndio ameshasahau aliyoenda kujifunza huko?
 
Hata kama n kuandikiwa hotuba, Ila Inabidi utumie akili ukiwa unasoma.
Zile akili cjui n za kiazi gani
Nakumbuka kipindi tuko chuo kabla ya Presentation tunafanya discussion ili usije kutia aibu na ni mbele ya class la watu 300 tu kwahiyo ili usikosee inakubidi usikilize kwa makini kweli, sasa hii ndio kujiendekeza gani lakini hujisogezi ni kuongea tu mbele ya halaiki bila kujali ni kina nani🫢
 
Kwa miaka takribani 40 sasa China inaongozwa na mainjinia tu, Kama huna elimu ya kiwango cha Engineering huwezi kuwa rais wa China.
 
Back
Top Bottom