Rais Samia ana elimu gani?

Rais Samia ana elimu gani?

Uongozi ni kipaji sio kutegemea elimu tu,pia kiongozi hawezi kujua Kila kitu ndo maana Kuna wasaidizi ambao humshauri nakumwelewesha juu ya maswala mbalimbali.
 
Uongozi ni kipaji sio kutegemea elimu tu,pia kiongozi hawezi kujua Kila kitu ndo maana Kuna wasaidizi ambao humshauri nakumwelewesha juu ya maswala mbalimbali.
Sababu ya kuuliza hili swali ni kuwa Samia anaboronga huo uongozi
 
Ulimi hauna mfupa naamini ameteleza TU, anayemwandikia hotuba ndio kakosea
Yeye mwenyewe hana akili? Kwa sababu hicho ni kitu ambacho nilipokisikia tu mara ya kwanza nilishituka, dola 8000??? Akaambiwa amekosea, akarekebishiwa na aliyemrekebishia nae ni kilaza eti dola 800, na Samia akaitaja hivyohivyo dola 800, yani hachukui hata sekunde 30 kufikiria tu simple Maths
Halafu mnasema kasomea uchumi, yani yeye anaandikiwa tu hotuba hata kama ni pumba anaisoma hivyohivyo tu
 
Amesoma UCHUMI au Uchuma
 
Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Wenye hela wanatumia nguvu nyingi hela walizonazo zisizonekane. Wasio na hela wanapambana kufa na kupona kuonekana wana hela.

Wenye ‘elimu mbalimbali’ wanakazana kuitwa majina yanayotambulisha elimu wasizonazo. Wenye elimu wenyewe hawajitambulishi na majina yanayotambulisha elimu zao.

Identity crisis—ukiukosa utambulisho unaoanzia ndani yako utateseka na mahangaiko mengi yasiyoziba ombwe lisilozibika.
 
Back
Top Bottom