VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 8,842
- 13,922
DuuuhHahaaa...
Hiyo waliandika kwenye cv yake kipindi cha kampeni kwenye elimu kuna sehemu waiandika elimu mbalimbali pakistan
DuuuhHahaaa...
Hiyo waliandika kwenye cv yake kipindi cha kampeni kwenye elimu kuna sehemu waiandika elimu mbalimbali pakistan
We unashangaa hyo kuna hyo mtoto wake ni naibu waziri wa elimu kuna siku nilimsikia anaongea nikasema hii nchi imefika pabaya sana communication skills ya viongozi wetu ni shida sana kwanza anapenda kusema sijui kwenye hotuba zake nyingi raisi unatakiwa uwe na uhakika unaposema sijui unatia watu mashaka.Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Hata azam TV walipost wakafuta itakuwa walipigwa mkwaraHahaaa...
Hiyo waliandika kwenye cv yake kipindi cha kampeni kwenye elimu kuna sehemu waiandika elimu mbalimbali pakistan
Hayo ni matokea ya viongozi kukwepa mijadala wakati wa kampeni ndio matokeo yake hayoHata kama n kuandikiwa hotuba, Ila Inabidi utumie akili ukiwa unasoma.
Zile akili cjui n za kiazi gani
🤣🤣🤣🤣"Kibasi” 🫢
Elimu ya hapa na pale.Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Elimu ya kuunga unga Foji foji nangai.Grafu za hapa na pale. Yaani weka hapa, peleka kule.
Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Alipata D moja ya somo la Kiswahili at least, give credit(no matter how little) where it's due.Mhudumu wa ndege... maktaba na elimu mbalimbali za kuungaunga...form4 alipata division za failures..
Umeambiwa elimu mbalimbali, just stick with that.😂😂 Kozi gani
Azam Tv walisema amesoma elimu ya masomo mbalimbaliElimu ya hapa na pale.ndiyo ipoje naomba ufafaniuzi wakuu?
Kumbuken huyu n mkuu wa nch so ni lazma tujue elimu yake isije ikawa tuna kiongoz kumbe n darasa la tatu C la mjeruman
Rais reasoning yake n kama ubongo wa mende hajui kipi n kip
mbona kama nchi haipo mikono salama kabisa