Rais Samia ana elimu gani?

Rais Samia ana elimu gani?

Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Super glue nyingi sana babu
20250806_111844.jpg
 
Unajua Raia namba moja ndiyo mtu anayetakiwa kuwa na ushwishi kuliko yeyote yule kitendo cha mimi kukata hotuba yaani imekuwa kama nayweshwa matapishi kimenigusa sana kiufupi Tanzania bado na hili bomu aliyetuachia ni kiongozi wa malaika
 
Wakuu naomba kujuzwa Samia ana elimu gani
Alisomea nini, wapi na alifikia level gani? Anayejua anisaidie
Kasomea tu Ukarani wa Uandishi (Stenoghrapher / Secretary) ngazi ya Cerificate pale zamani IDM Mzumbe Morogoro na sasa Mzumbe University.

Who is a Stenographer?
stenographer....a person whose job is to transcribe speech in shorthand.
 
Wakati anatoa zile boko za leo anasema eti nilikuwa natumiwa hapa bei za mafuta huko duniani. Alipoona katoa boko akaletewa boko lingine tena na yeye akasoma kama lilivyo.

Yani yeye hana akili hata ya kuchangunua na kufuatilia yanayotokea huko duniani.

Ndio maana jpm alikuwa anamtenga kwenye maamuzi kumbe alishaona ni kilaza.
 
Mama angu hajasoma ila ukimwambia kawaambie watu mafuta Lita ni dola 8000 lazima akuulize dola 8000 ndio sawa na shi ngapi za Madafu. Ukimwambia Dola 8000 ni zaidi ya Milion 16 za Madafu hawezi kuafikiana na wewe. We kwa kuwa huna shule kichwani anayoongea kilaza mwenIo unayaunga mkono
Wewe ni mtu mpuuzi uliyekosa malezi bora kwenye kukua kwako.
 
Back
Top Bottom