Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Baadhi yenu hamjui hata taratibu za chumba cha habari..mnaishia kutukana Watayarishaji/ Watangazaji...acheni mihemko..we unamjua Mhariri wake? Una ushahidi wowote? Unadhani maswali anatoa yeye kichwani tu ama kuna fanyika vikao vya briefing kabla kipindi/ show haijaenda hewani? Acheni uswahili bhana, Kwako matusi ni nini? 'Alipotukana' kama unavyotaka kutuaminisha ulichukua hatua gani? Unajua kanuni za utangazaji za Tanzania? Kwanini huioni V.O.A Swahili sikuhizi? Una nufaika nini unapomsagia mtu 'kunguni' kwa hisia zako ambazo hazina uthibitisho? Ok, Alitukana, kwahiyo unataka kutuambia nini? Mantiki ya 'uzi huu' wa kipuuzi ni kama unataka kulipa kisasi juu ya teuzi yake? Retaliation sio? ..mna boa! Mods Pigeni spana hawa wazushi, wanashusha credibility..

Stupidity at its highest order!
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Aisee...ikulu kuna lipe eeeh...?
 
Wanaendelea kula Kwa urefu wa Kamba daaaa sio poa Yani,

Bi Mkojani anaupiga mrefu mpaka unaangukia visiwa vya karafuu!
😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom