Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

Hayati Magufuli ni mmoja wa watanzania ambao wanajitambua na yeye alikuwa ni mtu aliejitambua.

Hii ni sifa moja kubwa sana ya binadamu, kujitambua.

Hayati Magufuli alijitambua na hata wengine kama mimi Richard najitambua.

Watanzania waafrika wengi na hata baadhi ya wazungu waliweza kuona hilo kuwa hayati Magufuli alijitambua na aliweka alama ya bara la Afrika kwenye koti lake.

Sasa baadhi ya wazungu na waafrika wengine hawapendi kuona waafrika wenzao wanajitambua maana wanahisi hapatashikika.

Kama hayati Magufuli aliweza kutikisa kila mahali na pakatikisika na akaja nchini bwana mkubwa wa uchimbaji madini kutoka Canada, basi alikuwa ni yeye na hatatokea Magufuli mwingine tena ndo imetoka hiyo.

Lakini bara la Afrika bado lina waafrika na watanzania wengi ambao bado hawajajitambua na ikifika siku wanajitambua itakuwa ni siku ya kiama na tutakuwa tumechelewa maana yeye alikwishasema tumecheleweshwa mno.

Ushuhuda ni madudu ambayo yameanza kurudi baada ya kuondoka kwake duniani, mara TRA kuna mitambo imeharibika, mara TANESCO mfumo wa LUKU umeingiliwa, mara majambazi yamerudi na mara bandarini kuna figisu zimerudi hii yote ni kuonyesha kuwa watanzania bado hawajaweza kujitambua.

Hapo awali , tulisikia mara Kitalu C kilianza kuingiliwa mpaka pale mama Samia alipoamuru ulinzi uimarishwe.

Pia tumesikia wizara ya fedha watu wamesimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa fedha na hiyio ni wizara ya FEDHA yaani hazina ya nchi!

Hivyo, kwanza watanzania waweze kujitambua kuwa wao ni nani na wapo Tanzania kwa kusudio la Mungu ambae amewapa rasilimali na uwezo mkubwa wa kumiliki rasilimali hizo hivyo wahitaji usimamizi.

Kinachohitajika ni kujitambua, kisha kuhakikisha twazisimamia rasilimali hizo na kuzigeuza kuwa utajiri kiasi cha kumsaidia kila mtanzania aliezaliwa Tanzania na yule alie na vinasaba vya utanzania kwa elimu bora, makazi bora na maisha bora.
Well said, barikiwa sana mkuu - kumpoteza binadamu mbunifu,muona mbali,jasiri nk inatia simanzi sana sana - Taifa kumpoteza mtu kama Dk. Magufuli ambaye alikuwa na umuhimu wa kipekee nchini it is a mighty lose - mambo ya ndio sivyo yanayo anza kurudi taratibu taratibu but surely yanatokana na nini - one may ask!

Are some skewed and misguided leaders trying madam President's patience iliwapate kisingizio cha kamsingizia mama watu kwamba kiko wapi mambo yameanza kumulemea - mimi ndicho ninacho kiuona wananfanyia hujuma tu, mbona wakati wa utawala wa Magufuli mambo haya tulisha anza kuyasahau kabisa -why now?
 

PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN MEETS WITH TPSF LEADERS


MICHUZI BLOG AT MONDAY, MAY 31, 2021 NEWS, HALL, EVENTS,

Photo: The President of the United Republic of Tanzania, H.E Samia Suluhu Hassan with various leaders of the Tanzania Private Sector Foundation immediately after their meeting, on May 31, 2021 at the State House in Dar es Salaam.


Photo : The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Samia Suluhu Hassan in a meeting with various leaders of the Tanzania Private Sector Foundation held today, May 31, 2021 at the State House in Dar es Salaam.



Photo : The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Samia Suluhu Hassan with some of the various leaders (Women) of the Tanzania Private Sector Foundation immediately after their Session held today May 31, 2021 at the State House in Dar es Salaam.

Photo : The President of the United Republic of Tanzania, H.E Samia Suluhu Hassan in a group photo with various leaders (Men) of the Tanzania Private Sector Foundation immediately after their meeting held today on May 31, 2021 at the State House in Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom