Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Rais Samia aduwaza wachumi nchini

Alichopanga Ngai binadamu hawezi kukizuia.Awamu moja kuongozwa na marais wawili.Ngai acha aitwe Ngai maana hana mbadala.
 
Hilo jarida limeongelea kuhusu umeme? Ama maji?

Kuongeza reserve huku hakuna maji wala umeme kuna faida gani kwa watanzania?

Juzi wamewgiza ndege nne za zaidi ya Bilioni 780 wakati watu hawana maji wala umeme, hii nchi ina vituko.

Huyu mama uwezo wa kuongoza nchi hana.

Faida ya hiyo reserve ni kua na shule kama hizi.

Wewe ndio hujui namna ya kumpima kiongozi anayeweza kuongoza nchi. Unachosahau ni kwamba ndege zinaifungua nchi, pato la taifa linaongezeka na pesa inakwenda kutumika katika sekta nyingine nyingi tu.

Mama kaweka saini mikataba ya masuala ya anga itakayorahisisha ufanisi wa TCAA. Yupo kisayansi kuliko unavyoweza kufikiri.
 
Team JF,


MERRY CHRISTMAS AND HAPPY NEW YEAR 2022.

#TUENDELEE KUMUUNGA MKONO RAIS WETU,
 
Happy Boxing Day kwa hisani ya Mhe Samia Suluhu Hassan
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
 
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.

Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili tu nakufikia $6.7BL sawa na TZS 15.41 kutoka $5.9BL sawa na TZS 13.57 mwezi Septemba.

Ongezeko hili ni karibu TZS 2 trilioni linalomfanya Rais Samia ndani ya kipindi chake hiki kifupi kuongeza Jumla ya TZS 4Trilion kwenye hifadhi ya fedha za kigeni,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na Rais yeyote wa awamu yeyote

Ongezeko hili linachangizwa zaidi na uuzaji nje (Exports) wa bidhaa pamoja na huduma hasa mazao ya Chakula kama mchele, Mahindi, maharagwe na mboga mboga.

Kwamsiojua,ongezeko hili ni mbali ya ongezeko la gharama za uagizaji mafuta nje zilizokua kwa 18.3% nakufikia $1.7BL

Jambo la Pili ni Uwekezaji mkubwa kutoka inje Foreign Direct Investments (FDIs) uliofikia $2.9BL sawa na TZS 6.7Trilioni.

Ukuaji huu wa uwekezaji ni sawa na mara sita zaidi ya uwekezaji wote uliofanywa mwaka uliopita katika kipindi kama hicho cha kati ya Mwezi Machi na Agosti.

Ongezeko hili linaweza kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua karibu miezi saba rekodi ambayo haijawahi kufikiwa tangu kuwako wa Taifa hili miaka sitini (60) iliyopita.

Tanzania kwa sasa ndio nchi inayokuza hifadhi yake kwa kasi Ukanda mzima wa Africa Mashariki na Tumevuka lengo la EAC lakuwa na akiba ya kuagiza bidhaa na huduma nje kwa kipindi kisichopungua miezi 4.5

Kaziindelee
 
Matokeo chanya

IMG-20220101-WA0020.jpg
 
Miradi yote iliyoachwa na Hayati Dkt John John Joseph Pombe Magufuli Rais Samia Suluhu Hassan anaitekeleza kwa 100%

Sihiyo tu tayari mingine mipya inaendelea na Ujenzi,

Tunawajibu wa kumwombea Mama huyu,
Nzuri sana hii
 
Hilo jarida linaongelea watanzania kama watanzania au watu gani? Maana mtaani kila mtu analia gharama za maisha na mfuko wa bei mbaya zaidi kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Mpeni muda mama anatibu mavidonda ya mwendazake mtafurahi nakuapia
 
Back
Top Bottom