Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Ajitafakari kwa lipi mana hata hiyo akili ya kujitafakari anayo basi,urais kaupata kwa bahati mbaya hata yeye hakuwa na wazo hilo,pili uwezo hana,amalize anaondoke na katiba tuibadilishe rais lazima atoke Tanganyika hata kama akifia madarakani uchaguzi uitishwe ndani ya mwaka.
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Mikutano ya chadema ingejaa watu, maandamano yangetia fora ndiyo kwanza wanavurugana chama kimepasuka vipande huyu mama ni chaguo la Mungu muacheni na roho mbaya zenu.
 
Eti chaguo la Mungu

Idiot!
 
Frog wa watu hana nia ya kugombea tena..ila wapambe hawataki aachie.
 
Mbona nilipozunguka mie wengi wanamkubali?
 
Hizi akili za kijinga za CDM, tunasimama na mama
 
Sawa hakubaliki, lkn Samia ndo Rais wa JMT mpk 2030 labda Mungu aamue vinginevyo
 
Kumbe? Basi sawa ,tutajie anaekubalika.

Mwisho kero zipi hizo? Yaani awasikilize punguani wa Chadema?
Jitahidi basi kuficha hyo tabia ndugu yangu mbona mnakosa aibu jamani hivi hii Nchi baada ya miaka kadhaa itakua na wazee wa aina gani?maana vijana ni full kujizima data na Ndio maana hata ushoga unazidi sana vijana mjitume kufanya kazi kwa bidii sio kushabikia Siasa ambazo haziwasaidii kitu zaidi ya kujidhalilisha kama hivi maana ukweli mnaujua kabisa wala hamna haja ya kubwabwaja humu
 
Jobu hoja Wacha kuleta taarabu.Nani anaefaa? Hakubaliki Kwa Nan? Na kigezo Cha Rais kufanya vyema ni kukubalika au kuweka Nchi kwenye right track?
 
Mbona nilipozunguka mie wengi wanamkubali?
Aisee kusema ukweli unaongea kinyume, mama hakubaliki zaidi hasa na watu wa kundi la chini....walalahoi ambao ndio wengi zaidi nchini.
Wanawake wengi pia hawampendi.
Kiufupi, maskini wengi wanamuona mama karejesha upigaji serikali...roho zinawauma wao hawapati huku maisha magumu!.
 
Mikutano ya chadema ingejaa watu, maandamano yangetia fora ndiyo kwanza wanavurugana chama kimepasuka vipande huyu mama ni chaguo la Mungu muacheni na roho mbaya zenu.
448097098_1072059270945693_1211330040235420964_n.jpg

CHADEMU...............................
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
RIP  BABA WA TAIFA TANZANIA  MWALIM NYERERE..jpg
 
Back
Top Bottom