Ndo kina Lucas?Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia
Kumbe? Basi sawa ,tutajie anaekubalika.Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!
Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo
Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia.....Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi!!
Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia
Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu....Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.
Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
1.Hajui kutatua kero za wananchi?
2.Hasikilizi kero za wananchi
3.Hajali mateso ya wananchi
4.Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee
5.Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?
6.Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija?Kuna mtu alisafiri kama JK?Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk...Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.
7.Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?
8.Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?
9.Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?
10.Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?
Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.
Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu
Ajitafakari!!!!
Yeye anapasua anga huku wananchi wakiendelea kuteseka.na hazungumzi chochote kama raisi hatari sana kuwa na rais wa namna hii.Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!
Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo
Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia.....Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi!!
Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia
Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu....Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.
Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
1.Hajui kutatua kero za wananchi?
2.Hasikilizi kero za wananchi
3.Hajali mateso ya wananchi
4.Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee
5.Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?
6.Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija?Kuna mtu alisafiri kama JK?Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk...Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.
7.Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?
8.Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?
9.Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?
10.Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?
Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.
Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu
Ajitafakari!!!!
MWANZA SEHEMU GANI MKUU MBONA MAENEO YA MJINI KOOOTE HUKU NI MAMA TENA TUUUUU UNAISHI MWANZA YA WAPI WEWEHuku Mwanza hatutaki kumsikia kabisa
Kama kweli kwa utawala wa design yake amewajeshimisha basi hamfai wanawake, msipewe tena nchi hata kwa bahati mbaya. Nchi inatafunwa mtu yupo tu hajui hata nini afanye, mambo yapo autopilot tu na vibaraka wake wanazidi kufurahia utawala wake.Asubiri matokeo ya uchaguzi ndo atajua ukweli.
Wameshindwa kumchafua mama as hana Kona Kona, wameamua kutunga Stori za mtoto ni wake fisadi🤣🤣🤣
Hivi mtu unaanzaje kusema Samia fisadi, mwizi 🤣🤣🤣 hainogiii.....Hana baya mama yetu, Mungu amtunze, akitaka tena tunampaaa mitano mingine.....hajatuangusha wanawake, ametuheshimisha mama yetu.
Wakati washasema fomu itakua ni ya jina moja tu?Kila siku naombea CCM tusimsimamishe mwaka 2025.CCM hata tukimuweka Steve Nyerere agombee urais tutashinda.Tutakuwa hatujajitendea haki sisi wenyewe na watanzania kwa ujumla tukimsimamisha Mama.
Hapanaa.Hivi katiba si inasema Rais anatakiwa atokee bara na makamu wake atokee Zanzibar?
Mheshimiwa Lucas Mwashambwa nikikuona changia hoja!!Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!
Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo
Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia.....Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi!!
Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia
Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu....Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.
Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
1.Hajui kutatua kero za wananchi?
2.Hasikilizi kero za wananchi
3.Hajali mateso ya wananchi
4.Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee
5.Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?
6.Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija?Kuna mtu alisafiri kama JK?Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk...Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.
7.Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?
8.Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?
9.Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?
10.Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?
Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.
Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu
Ajitafakari!!!!
Umesema kweli 100% .Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!

Uaneni huko 😂, sukuma ngang imedoda,mama bado yupoyupo sanaaa 😂,bora mzilikande kasepa na nchi hii haitorudi kule mpk mwisho wa mwishoKila siku naombea CCM tusimsimamishe mwaka 2025.CCM hata tukimuweka Steve Nyerere agombee urais tutashinda.Tutakuwa hatujajitendea haki sisi wenyewe na watanzania kwa ujumla tukimsimamisha Mama.
Let President Samia be unpopular but revive our economy to new heights.Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia!!