Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

Hivi katiba si inasema Rais anatakiwa atokee bara na makamu wake atokee Zanzibar?
Katiba hiyo hiyo inamakosa sababu linapo tokea janga kama msiba, haijasema muda wa makamu kushika nafasi ya ukuu wa nchi, hivyo tutalazimika kusubiri mpaka uchaguzi mkuu tena.
 
Ndiyo maana anawapa teuzi wanaomsifia ama, kazi anafanya ila analazimisha watu wampende, ukifanya kazi nzuri itaonekana bila kuwa na machawa
 
Kwa wapenda siasa za majukwaa lazima wamchukie tu. Huyu Mama hajui maigizo. Ni mtenda kazi. Namkubali sana since day 1.
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Hakubaliki kabisa. Liondoke haraka
 
Mbona hata mumeo tukiwa kijiweni huwa anasema hakukubali? Elewa hakuna Rais asiyelalamikiwa. Tunaomkubali Mama Samia tuko wengi sana... ni wachawi wachache kama wewe mnaomchukia.
 
Katiba hiyo hiyo inamakosa sababu linapo tokea janga kama msiba, haijasema muda wa makamu kushika nafasi ya ukuu wa nchi, hivyo tutalazimika kusubiri mpaka uchaguzi mkuu tena.
Imesema paka muhula uishe, na kuhusu swali langu ni kuwa rais anaweza toka upande wowote.
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Acha uongo wewe!Ulikuja kuniuliza mimi?Shida zako za maisha usisingizie wengine. Gangamala na uache kushabikia upuuzi.
 
Watanzania ni wanafiki, mdomoni watajidai hawamkubali, moyoni yupo kajaa kakunja nne....watanzania ni watu wa kwenda na vibe......Subiri agombee uone matokeo ya uchaguzi ndo utaelewa nachokwambia.

Anyway, Mimi namkubali sana huyu mama, akigombea Kura yangu anayo.......Mama mitano tena.
Sawa ila akipita hatodumu zaidi ya mwezi
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
🚶🚶🚶🚶 Nitarudi.
 
Ulitakiwa umwambie muanzisha thread maana anaonekana mkurupukaji,
Anaongea kwa kujifariji na kujifurahisha na kautafiti uchwara kama hajui asubr uchaguz mkuu sio mbali halafu arud Tena na utafiti wake wa familia na ukoo
Tz hakuna uchaguzi huru ni wizi kwenda mbele ndo maana hata ccm wakataliwe na wananchi wanajua watatangazwa washindi hasa kwenye urais
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
We nenda kaharishe huo uvundo ukutoke. Hakubaliki kwa mataahira km wewe.
 
Back
Top Bottom