Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

Wana CCM tutapata kazi pevu kummada huyu mama wakati wa kampeni - hauziki
 
Ni vizuri ukaandika na Yale aliyofanikiwa pia ku balance hisia:-

1.uhuru wa kujieleza umerudi!

2.Demokrasia ya vyama vya siasa Hadi upinzani wanaandamana hadharani na niliona askari magereza ameshika bango la kulaani kikotoo Hadi Rais akasikia na kulegeza!

3.Watumishi was imma ambao ni sisi tulipandishwa vyeo 2021 baada ya mama kuapishwa ,vyeo ambavyo vilisimama Kwa miaka mitano ya Mwamba !

4.kuna miundombinu ya nishati imeendelezwa Kwa sana Hadi mgao tumeanza kusahau plus RELI ya kisasa!

5.Kuna zahanati,vyumba vya madarasa vimejengwa Hadi vijijini huku!

6.Mzunguko was fedha umerudi mifukoni mwa watu Kwa Sana unatarajiwa kuongezeka July 1.

7.udahili wanafunzi kidato Cha kwanza na darasa la kwanza kuandikishwa kumeongezeka!

8.kuna ajira zimetangazwa Kwa mwaka wa fedha ujao na wasomi wenzangu wataajiriwa!!

Kiufupi ni mengi sana Hadi nachoka kuandika !!!

Hakuna utawala usiokua na changamoto hata watangulizi wake hali ilikua hivyo hivyo lakini yeye kaimarisha demokrasia na maandamano kuwa jambo la kawaida kabisa!hata mzee wetu kikwete hakuwahi kuruhusu maandamano ya upinzani lakini huyu Tena mama bila uoga kayaruhusu!!
 
Watanzania ni wanafiki mama akimaliza kipindi chake Kuna nyuzi nyingi zitamsifia hapa hapa JF...,

Hata anko Magu katika kipindi chake walimponda alivotuacha kila mtu siku hizi naona anafuma nyuzi kibao hapa za kumsifia.

Nikuulize swali kwa mtazamo wako ulitaka Nani achukue kijiti mbadara wa anko Magu(hata Kama Ni wa upinzani)?
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!

Wananchi wa kawaida ni wepi na wasio wa kawaida ni wepi?
 
Anasaidiwa na kuwekwa na mfumo huku wanufaika wakijitahidi kwa kila hali kuhakikisha anabaki madarakani ili waendelee kupiga maisha kwa mgongo wa mama.
Nimepita mikoa mitano TANZANIA
Sijabahatika kukutana na mtu anayemuongelea vizuri mama
Hao wanomkubali nawaonaga kwenye tv tu.
 
Huyu alianza kampeni 2021 yaani hatakiwi popote zaidi ya jeshi la mchongo
MABEYO KAMA ULIKUBARI WAHUNI WAKUENDESHE BASI KANISANI UTAKUFA KIHORO KWENYE SANAMU LA BIKIRA MARIA
 
Mtu anaempenda Samia lazima kichwani awe na ugoro!
Kila kona ya nchi hakubaliki
 
Aambiwe nini!!? .Kwan yeye haoni kwamba HATUMPENDI!!!?
 
Back
Top Bottom