Rais Samia aambiwe ukweli kuwa hakubaliki kabisa na wananchi?

TATIZO HALIANZII KWA Bi Mkubwa Samia.

TATIZO linaanzia kwa CCM which is the rotten system .

For simple analysis , CCM ndio cut off point .Ukiondoa CCM , the likelihood that utaondoa matatizo kwa asilimia 90 ni kubwa.

Samia ameunga unga hadi kafika level ya Urais , unadhan ni kosa lake ?

Ni kosa la rotten system. Nchi za watu wana make all calculation very clear miaka 60 ahead , kiasi kwamba kwa level za Samia , angeishia mkuu wa wilaya.

USA Wanacalculate hadi kimo cha mtu kuupata urais.to them height also matters a lot

CCM ingekuwa ni smart , they could have calculated kuwa tunampa Umakamu Rais kwa qualification na meritocracy au siasa siasa za muungano, ?

They should calculate their gesture appropriately maana makamu ni replacement ya Rais in case of emergency.

Matokeo yake CCM wakataka kutoana ngeo baada ya kuona hee tunampa nchi huyu mtu !

Kama Samia was competent enough , it was very easy to accept her , CCM ni mabogus, yalikuwa yanachukulia poa sana cheo cha umakamu, to them umakamu ni kama vile hana kazi kivileeeee… lakini nature ikawatia adabu hadi kutaka kushikana mashati.

Ni ubogus na rotten system

Hakuna watu SMART CCM ambao wanaouwezo wa kuangalia the outcome la tukio in the next 10 years to come .

Hata intelligence yetu kazi yao kubwa ni kukamata watu mitandaon na kuwatia spana. Samia hana kosa lolote, mlitaka akatae dodo. It is all about the rotten system under CCM .

Imagine walishindwa hata kumuua lissu ( sina maana nilitaka lissu afe) I mean CCM ni failure na hawana watu smart wa ku calculate the outcome in the future . Like Lissu akitoka salama hapa cha kwanza atakimbizwa hosp ya Mkoa/ referral , je tumeweka watu kule kumaliza tukio,
au njian anapowahishwa hosp kuna mtu ?

CCM huwa wanaangalia mambo usawa wa pua yao ndio mana hawana wanachoweza

JFK wakati anawahishwa hosp, mule ndani kulikuwa na watu wameshakuwa set kuhakikisha kuwa jamaa hapumui, na mpaka anafika Hosp , JFK alikuwa hai bado, na madr wa Hosp wakawa wanataka kupambana, wakawekwq kando, wakaingia wazee wa kazi kumaliza kazi.
Those are calculated moves for those who are mafia’s and smart

CCM ni mazero , malafi, majizi yanawaza uchi na tumbo ndio maana yanamavitambi na minyoo tumboni.

Anatomy ya tumbo ni usawa wa ngumi but mtu amezungukwa na fats utasema ni mjamzito.

It is not about Samia, it is all about the rotten system ya CCM .Samia ni kipande cha kitu ambacho kina very limited time , BUT CCM mkifanya mchezo itakwenda sana
shida ya CCM wanaogopana na kunafikiana hilo ni utamaduni utakuja kuwateketeza
 
Nikimlinganisha na magufuli mama SSH ni better mara 100 kuliko lile mamluki la burundi.
Unampimaje ubora wa Rais kwa kumtumia Magufuli?
Why not Kikwete, Mkapa, Mwinyi au Nyerere?
Utendaji Bora wa Rais haupimwi kulinganisha na Rais mwingine aliyepita,

Pima ubora wa Rais kwa kutumia Uwajibikaji wake kwenye nyanja zote za uendeshaji wa Nchi, ametengeneza positive results kwa kiwango gani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi katiba si inasema Rais anatakiwa atokee bara na makamu wake atokee Zanzibar?
nafasi iliyobaki 2025, deep state wake up, serikali zote mbili zinaongozwa na wa upande mmoja, na hapohapo tuna mgogoro wa kero za muungano ambao una utata mkubwa, Tanganyika is big big big looser,
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Bado umebakisha mengine,lakini Umesema kweli.Mimi niseme ukweli sajasikia huku niliko mtanzania anayemsifia Samia.Kama anakubalika pasingekuwa na haja ya chawa.Vikundi vingi anavyounda vya uchawa vinathibitisha kwamba hakubaliki.Na ndio maana CCM walio wengi ni vilaza,ni strategy ya kuwa na chawa wengi.Kama wewe sio kilaza huwezi kuwa chawa.
 
none sense and useless theories za muungwana, zimechochewa kwa kiasi kikubwa na hisia mfu na potofu kabisa ambazo matokeo yake ni aibu na fedheha kubwa mno kwake binafsi na pengine kwa chama chake, baada ya uchaguzi, achilia mbali uchaguzi mkuu, bali huu huu wa serikali za mtaa baadae mapema mwisho wa mwaka huu 🐒
Na wewe umeandika nonsense
Nonsense inandikwa hivi kha
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Anafahamu vizuri sana ndio maana anafanya anayofanya
JF mods acheni kufuta comments
Acheni kuwa bias
Mkifuta comments za kuisaidia Taifa nini maana ya free speech
Mmekuwa watata sana siku hizi
Tutalikomboa vipi Taifa la kizazi chenu na watoto wenu wajukuu na vitukuu

Wake up smell the cofffee
Tunaipenda nchi yetu!
 
Na wewe umeandika nonsense
Nonsense inandikwa hivi kha
mwalimu....
we nadhani ingekua busara sana ungeng'ang'ana kule darasani tu kwa silabi na grammars ndio vijana wetu wapate mwangaza mzuri, na huku kwa siasa, wengine tuidadavue vizuri polepole bila mihemko, jazba au ghadhabu :BASED:
 
Kura mnaenda kupiga? Kampigieni kura kwa wingi yule mnayemtaka
 
Anafahamu vizuri sana ndio maana anafanya anayofanya
JF mods acheni kufuta comments
Acheni kuwa bias
Mkifuta comments za kuisaidia Taifa nini maana ya free speech
Mmekuwa watata sana siku hizi
Tutalikomboa vipi Taifa la kizazi chenu na watoto wenu wajukuu na vitukuu

Wake up smell the cofffee
Tunaipenda nchi yetu!
hakuna platform ya kistaarabu isiyokua na principels na viwango vya utaratibu wa kuzingatiwa ili kuinjoy kuitumia....

coments na mabandiko yasiyokidhi vigezo na masharti ya platfom husika, ni vizuri yakazuiwa au kufutwa kabisa, bila kujali visingizio visivyo na tija, kwa mfano ati free speech au bias.....

ni vema ikafahamika na kueleweka wazi kwamba, uhuru na haki vinaambatana na wajibu:pulpTRAVOLTA:
 
Samia akitupa KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI mimi nitamkubali fasta.
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Shoga ww
 
Huku jf gafla kumegeuka nchi?maajabu kabisa
 
Imesema paka muhula uishe, na kuhusu swali langu ni kuwa rais anaweza toka upande wowote.
Hapo panahitaji marekebisho. Angalau makamu ashike nafasi kwa miezi mitatu Kisha uchaguzi ufanyike tena

Pia jambo hili lizingatie ulazima wa muda kiutawala uwe ni zaidi ya walau mwaka mmoja na nusu ili kuepuka gharama zisizo na ulazima pia
 
Sijawahi na nasema kweli kabisa ni ngumu sana kukuta mwananchi wa kawaida anamsifia au kumpenda mama Samia.

Nimezunguka sana nilidhani labda ni Dsm tu mikoa yote ya Tanzania Bara Samia hakubaliki hata robo

Ni ngumu sana kukuta mtanzania anamkubali samia. Yaani wanaompenda hawapo kabisa huko ccm ndo hawamuelewi kabisa, ispokua chawa wachache ambao hata 1000 nchi nzima hawafiki ndo wanajitahidi kumpamba na kumpost kinafiki ili wapate vyeo lakini mioyoni mwao ni dhahiri kabisa hawampendi.

Natoa mfano hai, nina marafiki na jamaa kadhaa wapo kwenye hilo genge la machawa wa mama na ni wapo kindakindaki lakini tukiwa na mazungumzo yetu kinyumbani au personal conversations huwa wananambia ukweli kabisa kuwa wenyewe hawamkubali samia

Na hawampendi kabisa the way anavyorun nchi ni vile wanampost kinafiki tu wapate vyeo, madaraka, na vipesa vya kujikimu. Huu ndo ukweli ndugu zangu hata hao chawa asilimia 85 ya chawa wake hawamkubali ni vile tu wapo kimaslahi.

Nani mwenye akili timamu anayeweza kumkubali mtu ambaye?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]

1. Hajui kutatua kero za wananchi?

2. Hasikilizi kero za wananchi

3. Hajali mateso ya wananchi

4. Amesaini mkataba wa kuuza bandari ya Tanganyika pekee

5. Anayependelea ZANZIBAR tu na mali.zinazopigwa mnada ni za bara!! Serikali yake inanuka ukanda tu?

6. Mtu ambaye anasafiri lakini safari hazina tija? Kuna mtu alisafiri kama JK? Alisafiri lakini watu waliajiriwa, vitu vilishuka,ruzuku za kutosha, pesa ilikuwepo nk. Huyu anasafiri lakini hamna kitu safari zinaleta.

7. Mtu ambaye kauza madini yote ukanda wa bahari kwa ahadi ya mkopo wa Trilioni 6 wenye riba ya asilimia 75?

8. Rais Ambaye mwanae ana shutuma za kuimaliza nchi na kumaliza rasilimali na kukwepa kodi?

9. Rais anayethamini wageni kuliko wazawa kwa kuwatimua wazawa kwenye ardhi yao na kuwapa waarab?

10. Rais ambaye serikali yake inanuka ufisadi na anawaambia kabisa mawaziri na watendaji wake wajipimie na wale wa urefu wa kamba zao ilimrad wasivimbiwe anawezaje kukubalika kwa wananchi?

Bado tozo za simu, mafuta,mabando, intanet, gesi kupanda bei, mambo ya hovyo kabisa.

Kwakweli watanzania shikamooni haijawahi tokea rais ambaye hakubaliki kama huyu

Ajitafakari!!!!
Alchura
 
Attachments

  • IMG_20240614_163726.jpg
    IMG_20240614_163726.jpg
    68.5 KB · Views: 14
Back
Top Bottom