Rais Samia 2021/22 amepunguza mikopo na misaada kutoka nje

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
Rubbish, endeleeni kusifia upuuzi.
 
Hongera zaidi
 
Pathetic!! Unajaribu kulinganisha bajeti iliyopita na hii kutokea tulichopanga!! Unajaribu kuonesha bajeto zetu ni kubwa na zinajitosheleza sana.

Kama hutaweza kusema ni kwa kiwango gani tulitekeleza bajeti za miaka iliyopita - unajisumbua bure kwa watu wenye akili. Huwezi kuzungumzia makadirio bila makusany+matumizi!! Halafu uruke hayo na kukimbilia kuzungumzia kupungua kwa mikopo/misaada!!

Budget performance kwa baadhi ya wizara FY 2019/20 ilikuwa mpaka 35%!! Kwanini haikuwa angalau 95%!!
 
Wewe ni mwandishi mwongo sana na mtu wa kujipendekeza kkwa vitu visivyokuwepo
 
Mkuu huu msimu Rais Samia hakuwepo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…