Ya kijifunza kutoka katika Mkutano huu.
1. Raisi Putin ana kazi malum ambayo amepewa kuhakikisha Russia yasimama imara kiuchumi, kijeshi na katika jukwaa la kimataifa.
2. Putin ni mzungumzaji yaani great talker na ni mjuvi, mwerevu na taarifa zote kuhusu nchi yake na za Dunia hii anazo.
3. Russia ni superpower kwa kuweza kupigana na nchi zipatazo 50 nyingine zikiwa zajificha nyuma kwa mwaka wa pili sasa waenda.
4. Russia Ina uwezo wa kiuchumi licha ya kuwa vitani.
6. Na mwisho ni kwamba raisi Putin tunae hadi hapo kitapoeleweka.