Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,026
Anayeweza kukoroma east Africa dunia ilasikiliza ni Magufuli tu
Apambane na hali yake .Yeye alizoea kusafiri Sana kutwa yuko ulaya na marekani corona imemshikisha adabu amewekwa l downtown kwa nguvuAkihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Ambatanisha mahojiano Chief KabikulaAkihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Uzushi huoAkihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Dongo kwa Magufuli kabisa hili.Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
kwa kupewa mkopo wa usd 1b unategemea atasema nini?huo ni mkopo sio msaada kumbuka.Akihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
weka ushahidi video itakuwa bora zaidiAkihojiwa na BBC Swahili Jana saa 12:30 Alisema unashangaa baadhi ya Marais Wa Afrika pamoja na ugonjwa huu Hatari,hawajulikani walipo,wamejificha na wananchi wao wanaokotwa wamekufa barabarani,maiti zao zimezagaa, halafu unashangaa viongozi hao wanajiita wacha Mungu.Wanasali kila jumapili,wanatembea na Biblia na msahafu ,na wengine wanajiita mapasta.
Tunaomba sauti ya mahojiano, video ama picha.!