Rais Paul Biya wa Cameroon afanya sherehe ya kutimiza miaka 40 madarakani

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa.

Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo.

Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake.

Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka 100 tena.

2E87E21D-6FDE-465D-ACC4-F3780E99E109.jpeg
 
Usikute hajui chochote kinachoendelea na kashasahau kuwa yeye ni raisi, ana jamba jamba anapelekwa kwenye mkutano ambao hajui chochote kinachoendelea. Wacameroon wote hawana akilli inamana Etoo anashindwa hata kutangaza nia
 
Kuna yule wa South Sudan alijikojelea hadharani. Kuna huyu muuza unga Tinubu hawezi hatakuongea anautaka Uraisi Nigeria.

 
Mnaosema udini na kukaa madarakani muda mrefu kunaleta maendeleo itazameni Cameroon.
 
Back
Top Bottom