Rais wa Cameroon afanya mabadiliko kwenye Bunge na Wizara ya Ulinzi

Zacht

JF-Expert Member
Jul 17, 2020
1,009
2,197
Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi.

Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara.

Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu 1982. Alikuwa Waziri Mkuu kutoka 1975 hadi 1982.
IMG_20230831_080046.jpg
 
Afrika Bala la giza bala ambalo limelaaniwa yani kikongwe cha miaka 90 bado kina jipapatua kutaka kuendelea kutawala zaidi 🤔🤔
Kwa umri wake wa miaka 90, na ameka madarakani kwa muda wa miaka 41 alafu bado ana hofia kuondolewa/kupiduliwa madarakani...🤔 hakika huu ni ukichaa kabisa...😂
Hii inaitwa last kick of a dying horse anahangaika tu ila kuliwa kichwa kupo pale pale ,mtu yupo madarakani miaka 41 Yani kipindi anaingia uraisi macron raisi wa ufaransa alikuwa na miaka mitano
 
Afrika ni bara moja ambapo watu wake hawako serious kabisa, kwao madaraka ni ulaji na ujiko na wala sio dhamana wala huduma kwa jamii ndio maana haya mambo ya mapinduzi hayawezi kwisha, tutaendelea kuishi nayo tu hadi siku waafrika tutakapo jitambua.
 
Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi.

Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara.

Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu 1982. Alikuwa Waziri Mkuu kutoka 1975 hadi 1982.
View attachment 2734227
Yaje tu na Tanzania,tumechoka uonevu wa watu wetu na CCM na serikali zake.
 
Acha yatolewe. Tanzania tuna mfumo mzuri sana 5+5 baada ya hapo basi. Isipokuwa badala ya mtu kuwa dikteta kwa Tanzania ni tofauti. Chama cha mapinduzi ndiye dikteta wetu. Ukiona mwenzio ananyolewa ccm tia maji.
Kuna mtu generali mmoja hv akasema ccm Ni vigumu smaa kuachia dola kwa vile utaratibu wao wa kubadilisha uongozi kila baada miaka 10 Ni nzuri hvyo chama Kama ccm Ni vigumu kuvhokwa kwani kila miaka kumi huja na vichwa vingine
 
Huku mapinduzi yakizidi kuenea ukanda wa Afrika Magharibi, Rais wa Cameroon bwana Paul Biya mwenye umri mwenye miaka 90 amelifanyia mabadiliko Bunge pia amefanya mabadiliko makubwa katika Wizara ya Ulinzi.

Hivi karibuni ameteua watumishi wapya katika huduma za ndani na nje za Wizara.

Biya amekuwa Rais wa Cameroon tangu 1982. Alikuwa Waziri Mkuu kutoka 1975 hadi 1982.
View attachment 2734227
Kakumbwa na KIWEWE baada ya kuona majirani zake karibia wote wananyolewa na kusulubiwa msalabani kwa maovu yao waliyowatendea wananchi.
Natamani wimbi hili la Mapinduzi livume kwa kasi kubwa zaidi na hatimaye lifike kwa haraka katika nchi zote za Afrika.
 
Back
Top Bottom