Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

Mazee hii ishu si yamchezo.Pini waliyopigwa leo wakenya pale airport ya Tanga si mchezo.Waziri wa nishati wa uganda leo amekuja tanga kwa usafiri wa anga.Kumbe wakenya nao wamejileta ili wasome ramani za kila kitu kinachoendelea. Tena mpka gharama za huyu waziri pamoja na wao wenyewe imelipwa na wizara ya nishati ya kenya.Sasa walivofika tu airport migration wako kama mvua.Kilichofanyika ni kuwaruhusu wananchi wauganda na wazungu wao kupita lakini wote wale wakenya walinyang'anywa passport zao na kuambiwa mtangoja hapa VIP LOUNGE,mpaka hawa wengine warudi. So waganda na uongozi wa gvt ya tanzania walienda kufanya yao.Waziri wao wa nishati na timu yake walibaki wanatoa macho.Mazee tz tuiache ilivo...hili tikio leo lilikuwa lakimafya sana sana.Ni mengi..ila chkueni hayo machache.

Mzee hii kali!!!!!!!!!! umeitoa wapi?
 
Ikumbukwe kuwa Jumuiya hii mpya ilizaliwa baada ya ile ya awali iliyoanzishwa mwaka 1968 na kuvunjika mwaka 1977 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kushindwa kuelewana kwa wakuu wa nchi wanachama kwa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere (Tanzania), Jommo Kenyatta (Kenya) na Idd Amin (Uganda).

Kile ambacho Uganda inakifanya kwa sasa kuhusu ‘’umalaya’’ katika maamuzi unajenga chuki kati ya Tanzania na Kenya.

Uganda inakuwa kama mwanamke anayetongozwa na wanaume wawili kutoka katika familia moja huku akimkubali kila mmoja. Mbaya zaidi, anajitokeza mbele ya kandamnasi na kusema huyu pia ni mwanamme wangu. Wananchi wengine wanabaki wanashangaa na kujiuliza, what’s going on?

Kinachotia wasiwasi, hatufahamu huyu mwanamke anaongea nini zaidi wakati akiwa ndani ya chumba kuhusu mwanamme mwingine anayedai pia anampenda.

Huu ujenzi wa bomba la mafuta unaweza kuleta matatizo makubwa katika mahusiano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe kuwa, Mwezi August, 2015 tulihabarishwa kuwa Kenya na Uganda wamekubaliana na kuweka saini kujenga hilo bomba la kusafirisha mafuta. Less than two months, on Oct 2015 tukaambiwa Uganda and Tanzania have signed an agreement to explore the possibility of building a crude oil pipeline between the two countries.

Mwezi March 1, 2016, Rais Magufuli na Rais Museveni wakaonekana mbele ya waandishi wa habari wakisema wamekubaliana kuhusu mpango wa kujengwa kwa bomba la kusafirisha mafuta kutoka bandari ya Tanga, Tanzania hadi Uganda.

March 14, 2016, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw. Javier Rielo alienda Ikulu Jijini Dar es Salaam na kumuhakikishia Rais Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta haraka iwezekanavyo, kwa kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zipo.

March 21, 2016, Tukaambiwa tena, Rais Kenyatta na Rais Museveni walikutana jijini Nairobi kujadili tena ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huu ulifanyika siku chache tu baada ya Uganda na Tanzania kuafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka bandari ya Tanga hadi nchini Uganda.

Kwa sasa jopo la wataalam wa Uganda wamebaki Kenya wakitembezwa huku na kule ili kujionea hali halisi ya fursa zitakazopatikana baada ya kujengwa bomba.

Kuna wengine wanaweza kudhani hili ni suala la kawaida lakini mimi ninaliona ni suala hatari sana katika mstakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ningemwelewa Rais Musevevi kama angekuwa anafanya huu ''umalaya'' kwa nchi ambazo haziko ndani ya EAC.

Rais Museveni anachochea ugomvi/uhasama sio kwa Marais wa Tanzania na Kenya pekee bali hata kwenye Mstakabali wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Rais Musevevi asikubaliwe kufanya biashara kwa mgongo wa kujenga chuki kati ya Tanzania na Kenya. Huu ni unafiki na uzandiki wa kiwango cha juu.

Someone must tell Rais Museveni to stop it, just play fair business game. He doesn't have to do all that mumbo jumbo.
Museven and Kenyata are actually playing the 'GOOD COP BAD COP' psychological manoeuvres to our new president, in the attempt of COWing our country!
 
Tanzania seized Keter passport in Tanga port tour

Tanzania on Wednesday confiscated the passports of top Kenyan officials, including Energy Cabinet Secretary Charles Keter, and denied them access to the port of Tanga.

However, a delegation from Uganda, led by Energy minister Irene Muloni was allowed to proceed with the tour unmolested.

The top Kenyan officials had began their journey in Lamu, where they inspected the proposed Lamu port before flying to the port of Tanga in Tanzania.

The trip was part of their mission to unlock a deadlock between Kenya and Uganda over whether a proposed oil pipeline to export Uganda’s oil would pass through Kenya or Tanzania.

Wednesday’s incident turned the quest for Kenya to retain the crude pipeline ugly.

The Tanzanian officials took away the travel documents of Mr Keter, Petroleum Principal Secretary Andrew Kamau, his Energy counterpart, Mr Joseph Njoroge and Lapsset CEO Sylvester Kasuku, as they attempted to enter the Tanga Port in the company of the Ugandan delegation.

Tanzanian authorities were reportedly paying back Kenya’s failure to invite them to Lamu, or to the talks held at State House, Nairobi, between presidents Uhuru Kenyatta and Uganda’s Yoweri Museveni on Monday.

'WE ARE CAPTIVES'

Only Ugandan and oil firm representatives were invited to the Nairobi meeting, even though Tanzania has expressed interest in having the pipeline run through its territory.

Mr Kamau confirmed that the passports of the Kenyan officials were confiscated when they arrived in Tanga to inspect the port, which has been proposed as a potential exit point for Uganda’s crude oil.

“We are basically captives here. They have refused to give us back our passports for about one hour. They have also refused us entry into the port of Tanga,” the PS told the Daily Nation in a telephone interview.

“They only allowed the Uganda delegation into the port,” he said.

Their passports were returned after more than one hour.

The Geneva Convention of 1961 protects all accredited diplomats. Diplomatic passport holders arriving at a foreign port are usually given certain privileges to pass through. This is aimed at protecting foreign diplomats from unnecessary impediments in the conduct of their business.

However, it is the duty of a sending Foreign ministry, through the nearest embassy, to alert the host country of a visiting delegation.

Wednesday, it was not clear whether Kenya had alerted Tanzania of the impending tour.

During the Monday meeting, Kenya and Uganda failed to agree on the Northern Pipeline, from Hoima in Uganda through Lokichar, to Lamu, when President Museveni raised questions about the possible delay in the construction of the pipeline, the Lamu port and the security situation in Kenya.

Oil companies carrying out exploration in Uganda had warned that Uganda’s plans to start extracting crude oil for export in 2018 could be delayed if it goes ahead with the Kenya deal. The firms are Total, Tullow Oil plc and China National Offshore Oil Company (CNOOC).

However, Tullow Oil plc has since denied having a hand in the study.

“Tullow has publicly expressed its view that whereas both the Northern and Southern routes through Kenya are technically viable, its own analysis of the different pipeline routings shows that the northern route is the most cost-effective for both Kenyan and Ugandan crude oil,” it said in a statement.

After the Monday meeting, the Ugandan delegation, led by Ms Muloni, and the Kenyan team headed by Mr Keter, were tasked to hold meetings to come up with a harmonised position on the pipeline and report back to the two presidents in Kampala in two weeks.

After holding day-long meetings on Tuesday, the two teams yesterday flew to Lamu to inspect the progress in the construction of the port.

LAMU PORT VISIT

At Lamu, the officials visited the site where the first three berths of the port are to be constructed.

They later held a closed-door meeting with Lamu’s Lapsset stakeholders, Lamu County Lands Executive Amina Rashid and experts from the oil sector. They later flew to Tanga.

Foreign Affairs Cabinet Secretary Amina Mohamed told the Nation last evening her ministry had instructed the Kenyan High Commissioner to Dar es Salaam, Mr Chirau Mwakwere, to sort out the hitch with the Tanzanian Government.

“Our High Commissioner is in contact with them, and he is trying to sort out the problem. I should be able to update you as the situation unfolds,” she said on phone.

However, Mr Mwakwere, a former Matuga MP, told the Nation that he had no information about the matter.

“I am not aware of what you are talking about. If I knew about it, I would have information. But let me check,” he told the Nation on phone from Dar.

Additional reporting by Kazungu Kalume
 
Museven and Kenyata are actually playing the 'GOOD COP BAD COP' psychological manoeuvres to our new president, in the attempt of COWing our country!
If that is the case, then somebody should advise them that Magufuli is not Kikwete.
Kenyatta is not certain of securing a second term. Ugandan life president Museveni is getting tired by the day.
It seems the only EA president Magufuli can work with is Paul Kagame. Anti corruption crusader like Magufuli.
 
Ikumbukwe kuwa Jumuiya hii mpya ilizaliwa baada ya ile ya awali iliyoanzishwa mwaka 1968 na kuvunjika mwaka 1977 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kushindwa kuelewana kwa wakuu wa nchi wanachama kwa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere (Tanzania), Jommo Kenyatta (Kenya) na Idd Amin (Uganda).

Kile ambacho Uganda inakifanya kwa sasa kuhusu ‘’umalaya’’ katika maamuzi unajenga chuki kati ya Tanzania na Kenya.

Uganda inakuwa kama mwanamke anayetongozwa na wanaume wawili kutoka katika familia moja huku akimkubali kila mmoja. Mbaya zaidi, anajitokeza mbele ya kandamnasi na kusema huyu pia ni mwanamme wangu. Wananchi wengine wanabaki wanashangaa na kujiuliza, what’s going on?

Kinachotia wasiwasi, hatufahamu huyu mwanamke anaongea nini zaidi wakati akiwa ndani ya chumba kuhusu mwanamme mwingine anayedai pia anampenda.

Huu ujenzi wa bomba la mafuta unaweza kuleta matatizo makubwa katika mahusiano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe kuwa, Mwezi August, 2015 tulihabarishwa kuwa Kenya na Uganda wamekubaliana na kuweka saini kujenga hilo bomba la kusafirisha mafuta. Less than two months, on Oct 2015 tukaambiwa Uganda and Tanzania have signed an agreement to explore the possibility of building a crude oil pipeline between the two countries.

Mwezi March 1, 2016, Rais Magufuli na Rais Museveni wakaonekana mbele ya waandishi wa habari wakisema wamekubaliana kuhusu mpango wa kujengwa kwa bomba la kusafirisha mafuta kutoka bandari ya Tanga, Tanzania hadi Uganda.

March 14, 2016, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw. Javier Rielo alienda Ikulu Jijini Dar es Salaam na kumuhakikishia Rais Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta haraka iwezekanavyo, kwa kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zipo.

March 21, 2016, Tukaambiwa tena, Rais Kenyatta na Rais Museveni walikutana jijini Nairobi kujadili tena ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huu ulifanyika siku chache tu baada ya Uganda na Tanzania kuafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka bandari ya Tanga hadi nchini Uganda.

Kwa sasa jopo la wataalam wa Uganda wamebaki Kenya wakitembezwa huku na kule ili kujionea hali halisi ya fursa zitakazopatikana baada ya kujengwa bomba.

Kuna wengine wanaweza kudhani hili ni suala la kawaida lakini mimi ninaliona ni suala hatari sana katika mstakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ningemwelewa Rais Musevevi kama angekuwa anafanya huu ''umalaya'' kwa nchi ambazo haziko ndani ya EAC.

Rais Museveni anachochea ugomvi/uhasama sio kwa Marais wa Tanzania na Kenya pekee bali hata kwenye Mstakabali wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Rais Musevevi asikubaliwe kufanya biashara kwa mgongo wa kujenga chuki kati ya Tanzania na Kenya. Huu ni unafiki na uzandiki wa kiwango cha juu.

Someone must tell Rais Museveni to stop it, just play fair business game. He doesn't have to do all that mumbo jumbo.
Inabidi tuishi kama vile hakuna Uganda ili maisha yaendelee
 
Huyu mzee Museveni naona anataka kuwachezea hawa vijana Kenyatta na Magufuli. Si ajabu anataka kitu kidogo. Kwa Magufuli hapati kitu labda Kenyatta maana nasikia Kenya ni nchi ya kitu kidogo.
Napendekeza Magufuli na Kenyatta wakae kikao ambacho watakubaliana kumsusia M7 na bomba lake! Kama vipi alipitishe kwenye anga ya kimataifa! Haiwezekani M7 atugombanishe na ndugu zetu wakenya kwa misingi ya kibiashara! Huyu M7 haaminiki kabisa, huwezi kujadili biashara na watu Wawili kwa wakati mmoja! Huyu jamaa hana kabisa mshipa wa aibu!
 
Duuuh kweli siasa ni pana sana aiseee, ila kwa uchunguzi wangu mdgo nimegundua museveni na kenyatta ni marafiki sana tofauti na magufuri yeye hana raisi yoyote rafiki ndani ya jumuiya.
 
Ziara moja tu ya Rais Magufuli na Officials wake katika maswala hayo itafunga kazi kabisa, Mkenya hatajisumbua tena.
Amini nakwambieni Magu ni kama Obama wa Afrika, ana Influence ya ajabu!
Jambo moja tu, waende wakijua wameenda vitani kupambana na kuua ili kurudi wakiwa washindi, hayo mambo ya 'influence' ni kifuniko tu'
Hakuna kitu kibaya kama kulazimisha biashara. Upo uwezekano mkubwa wa kusacrifice hata utu na heshima yetu ili kupata hii biashara ya Kupitisha Bomba la Mafuta. Tusifikie hapo, ifike mahala nasi tumpe ukweli huyu mnafiki ili ajue analotaka kulifanya halikubaliki na halina mashiko. Kama alishaanza makubaliano na Kenya na wamefika katika hatua nzuri za utekelezaji ni vyema akaendelea nao.
Tukumbuke huyu M7 ni mnafiki anaweza kutugeuka kama alivyoweza kuwageuka jirani zetu. Tusilishabikie hili suala bila kuangalia udugu wetu, heshima yetu, uhuru wetu na fikra zetu na majirani wanaotuzunguka. Huyu M7 ni mnafiki ni bora kumtolea nje ili ajifunze kuishi vizuri na majirani zake. Kumbukeni leo mwenzako kesho kwako.
 
Kwa vyovyote vile kwenye biashara fursa ni lazima zifukuziwe!!
Sijakataa fursa kufukuziwa lakini kufukuzia fursa pekee haikufanyi kuwa successful businessman/woman.

Biashara ina zaidi ya kufukuzia fursa na mafanikio katika biashara lazima yaangalie zaidi ya kufukuzia biashara.

Rais Museveni and his stooge business conduct is deplorable to say the least.
 
Ziara moja tu ya Rais Magufuli na Officials wake katika maswala hayo itafunga kazi kabisa, Mkenya hatajisumbua tena.
Amini nakwambieni Magu ni kama Obama wa Afrika, ana Influence ya ajabu!
Jambo moja tu, waende wakijua wameenda vitani kupambana na kuua ili kurudi wakiwa washindi, hayo mambo ya 'influence' ni kifuniko tu'
Mbaya zaidi, nchi zilizoko kwenye EAC ndio zinapambana zenyewe kwa zenyewe!

Hii ni kama vita ya wenyewe kwa wenyewe!

Kwa mtaji huu, EAC itasalimika?
 
Duuuh kweli siasa ni pana sana aiseee, ila kwa uchunguzi wangu mdgo nimegundua museveni na kenyatta ni marafiki sana tofauti na magufuri yeye hana raisi yoyote rafiki ndani ya jumuiya.
Kweli mkuu, Magu is a lone ranger ndani ya EAC. Binafsi sikufurahi sana aliposakiziwa u/kiti wa EAC kutokana na ugeni wake. Coalition of willing ni lazima kuwaendea kwa uangalifu. Ingawa watu wanamlaumu JK lakini lakini huenda anafahamu hila za hawa jirani zetu.
 
Waziri ni kiongozi wa Serikali na siyo mtu wa kawaida au mfanyabiashara, suala la kuzuiliwa kwake Bandari ya Tanga ni lazima kuangaliwe kwa umakini ili kuepusha chuki, viongozi wa Serikali wanautaratibu ambao unaruhusiwa kutumiwa kwenda kutembelea au kufanya ziara ya mafunzo au chochote katika nchi nyingine au hata Wizara nyingine. Waziri wa Mali Asili hawezi leo kwenda tu Bandarini kutembea hata ndani ya Tanzania bila kumjulisha waziri mwenye dhamana, sembuse huyo ni Waziri wa Nchi nyingine anakuja kuingia Bandari ya Tanzania bila sababu za kufanya hivyo kujulikana. Alitakiwa kutoa taarifa na apokelewe na mwenyeji wake na kuzungushwa maeneo ambayo yameandaliwa kwa ajili ya ziara hiyo na siyo maeneo anayotaka kutembelea mgeni. Kwa hiyo tusiongeze au kuweka mazingira ya kuleta chuki kwa kuhusisha mambo ambayo utaratibu wake unajulikana. Nakubali kuwa Mseveni ana wachezea wenzake, sasa hapo ni hao wanaochezewa kuangalia kwa upeo wao na kujitambua na siyo suala la Kenya na Tanzania kuchukiana. Why Kenya au Tanzania imchukie mwenzake wakati wanamwona huyo anayewachonganisha ambaye hafichi katika kufanya kwake hivyo.
Ikumbukwe kuwa Jumuiya hii mpya ilizaliwa baada ya ile ya awali iliyoanzishwa mwaka 1968 na kuvunjika mwaka 1977 kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kushindwa kuelewana kwa wakuu wa nchi wanachama kwa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere (Tanzania), Jommo Kenyatta (Kenya) na Idd Amin (Uganda).

Kile ambacho Uganda inakifanya kwa sasa kuhusu ‘’umalaya’’ katika maamuzi unajenga chuki kati ya Tanzania na Kenya.

Uganda inakuwa kama mwanamke anayetongozwa na wanaume wawili kutoka katika familia moja huku akimkubali kila mmoja. Mbaya zaidi, anajitokeza mbele ya kandamnasi na kusema huyu pia ni mwanamme wangu. Wananchi wengine wanabaki wanashangaa na kujiuliza, what’s going on?

Kinachotia wasiwasi, hatufahamu huyu mwanamke anaongea nini zaidi wakati akiwa ndani ya chumba kuhusu mwanamme mwingine anayedai pia anampenda.

Huu ujenzi wa bomba la mafuta unaweza kuleta matatizo makubwa katika mahusiano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe kuwa, Mwezi August, 2015 tulihabarishwa kuwa Kenya na Uganda wamekubaliana na kuweka saini kujenga hilo bomba la kusafirisha mafuta. Less than two months, on Oct 2015 tukaambiwa Uganda and Tanzania have signed an agreement to explore the possibility of building a crude oil pipeline between the two countries.

Mwezi March 1, 2016, Rais Magufuli na Rais Museveni wakaonekana mbele ya waandishi wa habari wakisema wamekubaliana kuhusu mpango wa kujengwa kwa bomba la kusafirisha mafuta kutoka bandari ya Tanga, Tanzania hadi Uganda.

March 14, 2016, Makamu wa Rais wa Kampuni ya Total Afrika Mashariki Bw. Javier Rielo alienda Ikulu Jijini Dar es Salaam na kumuhakikishia Rais Magufuli kuwa kampuni hiyo itaanza ujenzi wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta haraka iwezekanavyo, kwa kuwa fedha za kutekeleza mradi huo zipo.

March 21, 2016, Tukaambiwa tena, Rais Kenyatta na Rais Museveni walikutana jijini Nairobi kujadili tena ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta kati ya nchi hizo mbili. Mkutano huu ulifanyika siku chache tu baada ya Uganda na Tanzania kuafikiana kuhusu ujenzi wa bomba la mafuta kutoka bandari ya Tanga hadi nchini Uganda.

Kwa sasa jopo la wataalam wa Uganda wamebaki Kenya wakitembezwa huku na kule ili kujionea hali halisi ya fursa zitakazopatikana baada ya kujengwa bomba.

Kuna wengine wanaweza kudhani hili ni suala la kawaida lakini mimi ninaliona ni suala hatari sana katika mstakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ningemwelewa Rais Musevevi kama angekuwa anafanya huu ''umalaya'' kwa nchi ambazo haziko ndani ya EAC.

Rais Museveni anachochea ugomvi/uhasama sio kwa Marais wa Tanzania na Kenya pekee bali hata kwenye Mstakabali wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Rais Musevevi asikubaliwe kufanya biashara kwa mgongo wa kujenga chuki kati ya Tanzania na Kenya. Huu ni unafiki na uzandiki wa kiwango cha juu.

Someone must tell Rais Museveni to stop it, just play fair business game. He doesn't have to do all that mumbo jumbo.

UPDATE:
Niliyokuwa nahofia kutokea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sababu ya ''umalaya'' wa Serikali ya uganda yameanza kutokea baada ya Waziri wa Kenya na kundi lake kuzuiwa na TISS kuingia kwenye Bandari ya Tanga.

Kwa habari kamili gonga hapa;
 
hakuna hoja hapo zaidi mwandishi wa bango hili anahitaji kujielimsha zaidi na wala Uganda si Malaya bali ni mwanauchumi aliyebobea mwenye jicho la tatu kwenye fursa .
Wewe mwenye elimu zaidi ulitakiwa utumie elimu yako kunielimisha ili uonekane tofauti na mimi nisiyekuwa na elimu!

Ninafahamu elimu haina mwisho lakini kuniambia sina elimu halafu huoneshi mapungufu ya elimu yangu ni sawa na kupiga kelele zisizokuwa na maana au umuhimu wowote kwa wasikilizaji au wasomaji!

Nielimishe!
 
Siwapendi na tena siwaamini hata kidogo wakenya!
Kwenye suala hili nadhani lawama kubwa lazima abebe Rais Museveni kwa sababu anajenga mazingira yatakayosababisha chuki na kutoaminiana ndani ya EAC.
 
Back
Top Bottom