Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

Tujenge tu bomba, Museveni akitukubali tufanye naye business, akitukataa tunalibadilishia matumizi liwe bomba la maji, lisaidie kusambaza maji vijijini
Hahaha Bomba halijengwi na Uganda wala TANZANIA
Ni Total wajenzi
Hata gharama ni zao
Shida Uganda ndio mwamuzi mafuta yao yapite wapi
 
Kwenye kadhia hii siwezi kutoa lawama kwa Kenya kwa sababu mwenye uwezo kwa kumzuia Kenya au kumkubalia ni Uganda.

Kama Uganda alikubaliana na Kenya, hakutakiwa kuja tena Tanzania na kuanza mazungumzo kuhusu suala ambalo walikuwa wamekubaliana na Kenya.

Hata pale Uganda alipokubaliana na Tanzania, hakukuwa na umuhimu tena wa Uganda kwenda Kenya kuanza mazungumzo mengine. Mbaya zaidi, hizi sarakasi zinafanyika ndani ya nchi wanachama wa EAC.

Huu ndio ''umalaya'' ninaosema.
Tatizo kubwa hapa mkuu ni kuwa pamoja na Mganda kumuliko hayo mafuta yeye sio mchimbaji wala mjenzi wa huo mradi.
Mchimbaji na mwekezaji mkuu ni Total, kwa hiyo kinacho define namna ya kuyachimba na kuyauza hayo mafuta sio dhamira ya kisiasa wala kindugu iliyopo baina ya majirani zetu hawa ila ni nguvu ya soko.

Tuko katika zama za kibepari ambapo unaangalia faida zaidi kuliko undugu, kama faida iko Kenya utaenda Kenya, kama iko Tanzania utakuja Tanzania na ndicho anachokifanya Mganda.
Kuvunja mkataba sio ishu kubwa sana katika ulimwengu wa kibiashara.
 
hahahahaahahahaahah....mkuu umeua! Na hapo tunagombania kuwapa njia wenye mafuta yao!
Kaka hapo kuna kitonge
Pipa moja dollars 14
Na kwasiku watapitisha pipa 200,000
Kwa mwaka twaweza pata
Tsh 2tilion
Huoni kama kuna kitonge hapo
 
Tanzania ni taifa kubwa kwa nchi za afirica mashariki tunapaswa kuonyesha ukubwa wetu kwa kumwita mganda ikiwezekana tumpunguzie gharama ili tuweze kupata mradi huu kwa kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato,

huu mradi tuufanye wa ziada ili kumkomesha huyu mkenya anayetuchokoza kila leo mara mlima kilimanjaro wa kwake,
akitunyanganya huu mradi tutadhalilika sana.
 
Kama Mseveni anawataka Wakenya, mwacheni . Sisi tuingie mazungumzo na nchi zingine zinazoweza kuhitaji tena kwa tija zaidi huduma hii. Ziko nchi nyingi zaidi ya Uganda ambazo hazina bahari.

Kizuri hata Kampala inachelewa tu kwa kuwa huwezi kufanya kitu cha kuaminika na Nairobi.
Tatizo kubwa mkuu katika hii deal ni serikali yetu ya Tanzania.
Toka enzi za Mkwerre hii ishu ilikua imetuangukia sisi, mkwere akajichekesha chekesha weee mpaka wakaona hayuko serious waganda wakageukia Kenya kenya akachangamkia fursa.
Tangu miaka ya 2003 Tanzania tulikua tumeshapewa hii deal matatizo yetu ya kulia lia nakufanya upembuzi yakinifu ndio yanayotu cost sana, ila angala Magufuli ni mtu wa action, naona soon mambo yatakua mazuri
 
Kwenye kadhia hii siwezi kutoa lawama kwa Kenya kwa sababu mwenye uwezo kwa kumzuia Kenya au kumkubalia ni Uganda.

Kama Uganda alikubaliana na Kenya, hakutakiwa kuja tena Tanzania na kuanza mazungumzo kuhusu suala ambalo walikuwa wamekubaliana na Kenya.

Hata pale Uganda alipokubaliana na Tanzania, hakukuwa na umuhimu tena wa Uganda kwenda Kenya kuanza mazungumzo mengine. Mbaya zaidi, hizi sarakasi zinafanyika ndani ya nchi wanachama wa EAC.

Huu ndio ''umalaya'' ninaosema.
Mseveni kafanya kitu cha kishenzi sana.
Usindani wa kisiasa na kiuchumi na kunyang'anyana tonge inakubalika kabisa.
Lakini ukishatangaza hadharani kuwa umeshapatana na Tz kwenye dili afu kwenda kuanza mazungumzo mapy na mwingine ni unyang'au na umalaya.
Kama alikuwa hajaridhika na dili ya Tz basi angenyamaza na sio kuitangaza huku kavaa ule mkofia wake.
 
Tanzania ni taifa kubwa kwa nchi za afirica mashariki tunapaswa kuonyesha ukubwa wetu kwa kumwita mganda ikiwezekana tumpunguzie gharama ili tuweze kupata mradi huu kwa kuwa tuna vyanzo vingi vya mapato,

huu mradi tuufanye wa ziada ili kumkomesha huyu mkenya anayetuchokoza kila leo mara mlima kilimanjaro wa kwake,
akitunyanganya huu mradi tutadhalilika sana.
Ni kweli kabisa mkuu.
Imefika wakati Magufuli aache kujifungia Magogoni, atoke akatafute Fursa, kwani akikanyaga mafuta kwa ndege yake mpaka pale Kampala kuonana na Museveni akamuweka sawa kuna tatizo gani??

Ikiwezekana hata kutenga bandari ya Tanga ikawa maalumu kwa ajili ya mizigo ya Uganda na Sudani ya Kusini na Rwanda hii inawezekana kabisa, sisi tukawa wakusanya mchuzi tu operations zote wanafanya wao.

Zama za ujamaa wa Nyerere zishapita, Nyerere na ujamaa wake washajifia, ni wakati wa kufanya mambo kibepari bepari tu, hakuna kumuangalia mtu usomi hata kama ni jirani yako linapofika suala la Business
 
Tatizo sio mseven tatizo ni Tullow oil kutaka kuchimba mafuta kenya. Total kaona mwenzie anamletea ujanja uganda wako wote mwenzie alivyoenda kenya kamweka kando sasa total anapiga mkasi tuone tullow oil atatokea wapi, mchina nae kaona tullow oil kamwacha solemba kwanini uganda wawe wote imefika kenya anakula winga.
Sasa kama maamuzi ya mwisho kuhusu bomba la kusafirisha mafuta yako mikononi mwa makampuni, kwa nini Rais Musevevi ana poke nose kwenye suala ambalo hana final say?

Kwa nini asikae chini na kusubiri makubaliano ya makampuni?
 
Kwasasa mambo ya kulialia hayana nafasi
Ni kwenda ki Nyang'au hivyo hivyo
Unajua hawa Wakenya wamesha tuzoea sana
Niwakati na sisi Watanzania tuamke.
Huu mradi ni mzuri sana
$14 kwa pipa ×200000
Kwa siku nimchongo mzuri.
Tusi kae tuanze kuufuatilia kwa nguvu kama wafanyavyo wakenya

Motochini unawafahamu wakenya vizuri?! Jiulize zile ndege za Ulaya zilizokuwa zikipishana Mwz kuchukuwa minofu ya sangara ziko wapi kama si kuzifuata Nairobi kwa sababu zisizokuwa na msingi na serikali yetu imeridhika.

Hizo ndege zilimwaga ajira Mwanza na jiji lilikuwa bize na kupendeza lakini hizo ndege zilihamia huko kwa hila za waKenya na upumbavu wa watendaji wetu serikalini. Ambao hawako kibiashara zaidi na hata hili la bomba la mafuta sitashangaa tukizungukwa kwa sababu hatuko kibiashara.
 
Tatizo sio mseven tatizo ni Tullow oil kutaka kuchimba mafuta kenya. Total kaona mwenzie anamletea ujanja uganda wako wote mwenzie alivyoenda kenya kamweka kando sasa total anapiga mkasi tuone tullow oil atatokea wapi, mchina nae kaona tullow oil kamwacha solemba kwanini uganda wawe wote imefika kenya anakula winga.

Mkuu, wewe ndiyo umenipa mwanga.

Siku zote nchi za Africa ni kuchezewa tu na mataifa makubwa. Nyuma ya pazia kuna vita kati ya kampuni ya Total (Wafaransa?) na Tullow Oil (Uingereza?). Ukweli wenyewe Uganda, Tanzania na Kenya tunacheza sindimba ya wakubwa hao.
 
Motochini unawafahamu wakenya vizuri?! Jiulize zile ndege za Ulaya zilizokuwa zikipishana Mwz kuchukuwa minofu ya sangara ziko wapi kama si kuzifuata Nairobi kwa sababu zisizokuwa na msingi na serikali yetu imeridhika.

Hizo ndege zilimwaga ajira Mwanza na jiji lilikuwa bize na kupendeza lakini hizo ndege zilihamia huko kwa hila za waKenya na upumbavu wa watendaji wetu serikalini. Ambao hawako kibiashara zaidi na hata hili la bomba la mafuta sitashangaa tukizungukwa kwa sababu hatuko kibiashara.
Duh, hili linatisha sana aisee.
Hawa jamaa sio watu wa kuwachekea chekea, nilifurahi sana JK alipowafungia baadhi ya ruti zao kuja Tanzania kwenye shirika lao la Kenya Airways sijui walimpa nini JK akaamua kuwafungulia tena
 
Nyuma ya siasa ni uchumi. Kama Uganda itabidi waamue, wakumbuke walikotoka wakati wa Iddi Amin. Tanzania ilitoa damu yake kuwasaidia wakati Kenya ilikuwa inakula sahani moja na Kenya.

Pamoja na hayo lazima tukiri kuna mahali serikali ya awamu ya nne ililala kuhusu mradi huo. Leo tungekuwa mbali sana wala wakenya wasingetia mguu. Mfanya maamuzi mkuu, alikuwa kwenye honeymoon isiyoisha. Ndipo Uganda wakaenda Kenya. Bila shaka wanamwambia Museveni kwamba hao wa Tz walikutosa siku za mwanzo.
 
Back
Top Bottom