Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

Hujasoma hapo nilipoandika kuwa 'sio nchi ya kifalme"

Na by the way kwa kukusaidia tu Malkia wa UK ni ceremonial leader..

Mtendaji mkuu wa serikali ni PM

Sasa Kaguta Museveni ni kofia zote kwa miaka 35 kawazima kabisa walioonekana kuwa na mawazo tofauti na yeye kama Kiiza Besigye na Robert Kyagulanyi.

Hajaishia hapo naona anatengeneza succession plan kwa kumuachia mwanae Muhoozi Kainerugaba
Hiyo ID yake inatosha kueleza kuwa ni mshamba na kilaza kama huyo dhalim

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania.

Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo.

Swali, je ni sahihi Rais kutumia gari yake kwenye ziara kama hizi?

Ni sababu za kiusalama tu au kuna la zaidi?
Mbona hata Obama alitumia gari zake
 
Wewe ambaye hauko programmed si utupe huo mfano wa mashambulizi ya hizo drones? Kumbuka mimi sio nyumbu kama wewe!!!
Na mimi siyo nguruwe kama wewe. Unajua yule General wa Iran alimalizwaje na msafara wake uliokuwa na ulinzi babu kubwa. Kama hujui basi kaa kimya
JamiiForums313878302.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania.

Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo.

Swali, je ni sahihi Rais kutumia gari yake kwenye ziara kama hizi?

Ni sababu za kiusalama tu au kuna la zaidi?
labda anakimbia airport yake akipitia hapo wachina watadai chao
 
Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania.

Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo.

Swali, je ni sahihi Rais kutumia gari yake kwenye ziara kama hizi?

Ni sababu za kiusalama tu au kuna la zaidi?
Ni ruksa tu wala si tatizo.. Maraisi wengi tu husafiri na magari Yao akiwepo raisi wa Marekani, muammar gadafi alikua akifanya hvo hata alipokua akienda ulaya, raisi wa uturuki, mfalme wa Saudi Arabia,malkia Elizabeth...
 
Back
Top Bottom