Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

Yani museveni anajifanya bepari kufadhili ujenzi wa shule Chato wakati uwanja wake wa ndege mchina anaumiliki muda wowote kwa kushindwa kulipa deni.

..na Tanzania tunatumia matrilion kununua ndege, halafu shule tunajengewa na kapuku Museveni, na shule nyingine tunajenga kwa mkopo wa World bank.
 
..na Tanzania tunatumia matrilion kununua ndege, halafu shule tunajengewa na kapuku Museveni, na shule nyingine tunajenga kwa mkopo wa World bank.
Sio Tanzania Mpwa, ni serikali sikivu ya Bibi Tozo
 
Back
Top Bottom