Rais Magufuli yashamshinda?

Mkuu umeongea kweli kabisa
 
Tatizo kubwa pia lipo kwa aina ya Wananchi tulio nao ...
 
kuna watu walisema huyu ni chaguo la Mungu
kweli Mungu tunamsingizia mengi
umeona tangazo la kupiga marufuku watu wanaokumbwa na njaa kupewa chakula na serikali?
Hamna chaguo LA Mungu kwa ushindi wa bao la mkono. Tena wengine walidiriki kusema aongezewe mda wa kuwa raisi kabisa.
 
unataka tuonngozwe na shetani? yes Mungu ndio anatuongoza kupitia Magufuli

achana na hizo unproven religious allusions & fantasies ... no inawezekana kabisa vilevile kwamba Shetani ndio anatuongoza kupitia kwake?
 
endeleeni kupiga mayowe. watumishi wa Mungu wako busy makanisani kumuombea. hata wabunge wenu huwa wanaitikia dua mbele ya Maadam SPIKA baada ya kumuombea rais wanakimbia nje.
Inawezekana wanamwombea aingie chaka....angekuwa anaombewa neema asingegeukwa na watanzania kwa wingi kiasi hiki
 
Taarifa zote angekuwa nazo basi kusingekuwepo na kuteua watu leo halafu kesho uteuzi unatenguliwa.
Nyani Ngabu rafiki yako Mwanakijiji yupo wapi? Naona kishakuacha, kajiunga na upande ule mwingine wa kutetea wakandamizaji badala ya upande wa kutetea demokrasia, heshima, utu na haki za binadamu.
 
nadhani kuna amri nyingine ameshazisahau na watu wameanza kuzipotezea! kwa mfano kunywa pombe mchana,kukataza pool table na usafi kila jumamosi watu wamerejea hali ya zamani na hakuna kiiongozi anayefuatilia.Uhalifu umerejea kwa kasi kwani Polisi wamekaririshwa kwamba kazi yao ni kupambana na UKAWA na kusahau majukumu yaoyai kulinda raia na mali zao!
 
Aliyeivuruga CHADEMA ni Mbowe na wala sio Dr Slaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…