Rais Magufuli yashamshinda?

mimi nilicheka niliposikia akisema MAJENGO YOTE YA SERIKALI YALIYOPO DAR NITAYAPIGA MNADA..
wajanja wakamshauri aanze na Ikulu ina bei nzuri !!
Mimi sijaribiwi,,tena wasinijaribu,bahati nzuri mimi ni wa tofauti Sana!
 
Madikteta uchwara ndivyo walivyo. Wanajijua kwenye utendaji ni watupu kabisa hivyo hutumia vitisho vya kila aina ili tu UDHAIFU wake kwenye utendaji usianikwe hadharani. Watawadhibiti wapinzani kwa kila namna ndani na nje ya Bunge na pia kutumia vyombo vya dola kuwatisha wapinzani na wananchi wasiouwaunga mkono ili mapungufu yao kwenye utendaji yasikosolewe. Madikteta ndivyo walivyo!

Nadhani mkuu hatakiwi apewe microphone kwan akipewa tu yeye hufikiri kutisha watu na matamko yasiyona tija kwa taifa. Kuna kitu nimekinotice, nafikiri mawaziri wake wameshamjua ndio maana wengi wako kimya sio kama walivyoanza.
 
Reactions: ydn
Kishaona nyumba ambazo anazimezea mate ili azikwapue ndiyo sababu akakurupuka na hili la kupiga mnada nyumba za Serikali.

mimi nilicheka niliposikia akisema MAJENGO YOTE YA SERIKALI YALIYOPO DAR NITAYAPIGA MNADA..
wajanja wakamshauri aanze na Ikulu ina bei nzuri !!
 
Lkn Mbowe apumzike
Tumshukuru kwa utumishi wake then apishe mawazo mapya ndani ya CHADEMA
Kubadili Katiba ili agombee pasipo UKOMO ni dharau kwa wanachama wengine wa CHADEMA
 
Jpm anajenga jamii gani ya kitanzania?miaka mitano ni mingi mno
 
Lkn Mbowe apumzike
Tumshukuru kwa utumishi wake then apishe mawazo mapya ndani ya CHADEMA
Kubadili Katiba ili agombee pasipo UKOMO ni dharau kwa wanachama wengine wa CHADEMA

..uzuri wa mbowe ni kuwa una uhakika hawezi hama cdm.

..tuwe makini tusije tukachagua mwenyekiti halafu anahama kwenda ccm.
 
..uzuri wa mbowe ni kuwa una uhakika hawezi hama cdm.

..tuwe makini tusije tukachagua mwenyekiti halafu anahama kwenda ccm.
Vijana makini kibao tunao
Lkn sasa wanatengwa sababu eti walikuwa watiifu kwa Dr Slaa
Kweli kulikuwa na haja ya kumuacha Mnyika kumpa ukatibu Dr Mashinji?
Au Heche anaweza hata fikiria kuihama CHADEMA?
 
Well spoken man! Kama sio mkamilifu basi ajue kwamba hana hatimiliki ya nchi hii la hasha! Peke yake hawezi kujenga tanganyika mpya endelevu; "Stronger together", kwa hiyo aongoze nchi kwa kulitambua hilo, not otherwise!
Kwa sasa ni TANZANIA sio tanganyika. Hayo mengine nakubaliana na wewe without reservations
 
Mkuu sasa hivi wananchi hatujui kesho ataropoka nini, sasa nimeelewa ni kwa nini mzee kitwanga na mama Kilango malecela wapo kimya
Heri anayeropoka lakini akatenda anayoyaamini kuliko anayeongea kwa urahimu harafu akatenda asiyoyaamini.
 
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term

Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Wanasiasa mnafurahisha sana, kama waigizaji wa maigizo ya kibongo vile.
 

Ondoa hiyo alama ya kuuliza kwenye heading yako
 
Kadri siku zinavyosonga huyu mheshimiwa wetu ndo anavyozidi kudhihirisha kweli kuwa mambo yamemshinda!
 
Tatizo inavyofika kuijadili mada za hivi watu wanaleta siasa tu.lakini mwisho watauona
 
Mimi nilichomwelewa ni kwamba anatutoa kwenye ufisadi wa fedha za umma, mtu masikini kunyanyaswa na mwenye mali, uzembe makazini upande wa waajiriwa wa serikali ILA ANAKOTUPELEKA NDO BADO SIJAMWELEWA.
Anatupeleka Dodoma……Kwa akina Matonya
 
Mfano?????????????????????
 
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…