Hivi kuna kiongozi wa Tanzania ambaye keshawahi kupingwa na kukosolewa humu kumzidi Kikwete?
Uhai karibu wote wa JF Kikwete ndo alikuwa rais na watu tumemsema sana humu.
Sasa sijui unazungumzia watu gani hasa ambao walikuwa kimya wakati wa enzi zake.
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Hatujivunii. Ispokua tunajivunia kuona aktengeneza njia ili kuwepo na usawa hasa kwa kuondoa au kupunguza gep kati ya walionacho na wasionacho"Sisi maskini"
Ni kukata tamaa au ni kuwa na mawazo yakimaskini?! Tunajivunia umaskini? Kweli?
Sio kweli kuwa anakuwa na information zote mkuu maana tumeona mara nyingi sasa ameteua na kutengua watu aliowateua yeye mwenyewe.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Labda tumuombe Mungu amchukue malaika wake mapema maana huku tumezoea kuishi mashetani peke yetu
Mkuu hali ni mbaya, imefika mahali watu tunatafuta pesa ya kula, kodi ya nyumba, ada ya watoto na kusali ugonjwa usibishe hodi ktk familia maana bajeti yake haipo.Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Unajua kitu kinachoitwa 'multiplier effect'?
Wafanyabiashara wanaathiri kila mtu..
wao ndo wanaathiri TRA na mapato.. na mapao ndo bajeti inapoanzia.....
kama unataka niseme watanzania wote.....wanalalamika...
siwezi sema hivyo
najua kuna watu 'mioyo yao inakoshwa na Magufuli'
swali je hao wanaokoshwa hawataguswa na hiyo 'multiplier effects?
I told him he should hold his horses ,kuna comment kama hiyo kaitoa jana ,ile operation Ukuta itachukuliwa tofauti na wenye mamlaka ,kumbe badala ya kupinga ukandamizaji wa demokrasia wao wanashawishi mapinduziThat sounds like a careless whisper slow down mkuu...
Dah! huyu jamaa kweli ni shidaa lkn hakuna chama cha kumtoa kama ndo sijui UKUTA mara Lowassa fisadi mara sio fisadiCHADEMA ingekuwa imara kama zamani huyu easily angeondoka 2020
Lkn kwa upinzani huu wa hovyo hovyo wa kutowasikiliza wanachama na kujiona viongozi kama Mungu watu
Wapinzani wanawatumia wanachama wao kwenye maadamano tu
Kwenye teuzi wanapuuzi kauli za wanachama wa kawaida
Wao na CCM hamna tofauti
Magufuli atashinda 2020 hata kukiwa na TUME HURU
Mark my words
Kwani hawa wanaotoa maoni kwamba anakosea siyo wananchi? Yaani kwa kumpinga Magufuli wanapokonywa uananchi wao?Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Haifai kupunguza gap kwa kushusha walio juu Bali angepandisha waliochini wafike juuHatujivunii. Ispokua tunajivunia kuona aktengeneza njia ili kuwepo na usawa hasa kwa kuondoa au kupunguza gep kati ya walionacho na wasionacho
Mbona sijawahi tukana humu?Subiri Jingalao na MOTOCHINI waisome post yako utakoga matusi.
Huko kunatakiwa kusifu na kuabudu tu
Umeruka hoja, Dk Slaa ni tatizo zaidi!Aliyeivuruga CHADEMA ni Mbowe na wala sio Dr Slaa
Umezoea kelele zetu?? ama umezoe kelele za Jamaa yako?mlisema Kikwete hatamaliza mda wake wa urais lkn leo ni rais mstaafu tena kastafu kwa Heshima.
hizi kelele zenu tushazizoea. Magufuli anazidi kuchanja mbuga,
Naongelea uwanja wote, ambao rais anaruhusiwa kucheza! Magufuli ana mapungufu lakini Kikwete alikuwa ni zaidi. BTW wanaopiga kelele Tanzania sasa hivi kumlaumu Magufuli ni wale watu waliokuwa wanafaidika na mfumo dhaifu wa Kikwete. Watu wa kawaida maisha bado ya yale yale na hakuna kilicho badilika.
Kama vile tuabuduvyo mzee wa Hai!Subiri Jingalao na MOTOCHINI waisome post yako utakoga matusi.
Huko kunatakiwa kusifu na kuabudu tu