MZALENDO ORIGINAL
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 375
- 151
MTANYOOKA TU BADO MLIZOEA KUBEMBELEZA HERE KAMA MMEFANYA UFSADIHivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini mengine yana ukakasi kidogo.
saiv tuu hajapanick...sijui akipanick atakuwa na maamuz gan huyu jamaa.
Na navo jua kupanick nilazma sabab atafika 2020 hakuna alilofanya........nataman sana niwe hai nishuhudie kampeni za 2020.....za kuanzia ndan ya chama na uchaguz kw ujumla
Noo..Ukiwa mzalendo wa kweli either CCM au kwingineko lazima utatilia shaka hali inavyokwenda,kama si mnafiki lakini.Rais ni Magufuli na ataendelea kuwa magufuli. huko anakopita ni shangwe na vigelegele. wananchi wanatamani aseme neno roho zao zifrahi. huku mko busy kutunga ngonjera na hadithi zisizo na vichwa wala miguu......
Watu hapa walisema bajeti ikipita mambo yatakuwa mazuri mitaani ila bado raia wanazidi kuumia!Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] shindwaaaaaaaMalafyale gwa kukaja abhana akubhaleka nani? ni nongwa isi. nndeke itolo umundu uju akaja gwa kunjobha.
ameen!Mungu akubariki sana .
mkuu vipi homa imepanda[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] shindeaaaaaaa
watanzania wapi hao? unaona mikutano yake mijini na vijijn? au watanzania nyie mlioshiba chps mayai na mna vibandovya tigo mnajiskia kufanya lolote?Inawezekana wanamwombea aingie chaka....angekuwa anaombewa neema asingegeukwa na watanzania kwa wingi kiasi hiki
Nawaza kwa sauti mnayoyajadili.
Mungu awaongoze mfike tamati.
Ila Nchi inahitaji maombezi na sio kumwombea Kiongozi wake.
KweliMkuu hii dhana ya kumtwisha Mungu matatizo yalliyo sababishwa na binadamu nnadhani tuachane nayo sababu itatupunguzuia uwezo wa kufikiri zaidi...
Nachelea kukubaliana na were Rich. Kwa jamaa hakuna cha taasisi.Madudu ya wakurugenzi na wakuu wa wilaya kuchaguliwa zaidi ya maramoja ni ishara tosha taasisi haifanyikazi.Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
"Sisi maskini"Waliochoka n wapga dili.. Sisi maskini akhaaaaah tunamkubali ajabu.