Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

Wanakitia aibu chuo cha kihistoria hapa nchini walichopitia,,halafu walivyokua wapuuzi wanamfananisha na Nyerere.Bila shaka angalikua hai Nyerere angalikwishatoa laana kwa CCM yote.
Ya huyu ina walakini na haiwezi kuthibitika kitaaluma, ila ya yule wa jalalani imeathiriwa na njaa.
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
Dishi limeyumba huyo. Bado kidogo linaweza hata kuanguka huko lilipofungiwa.
 
Heshima yangu yote kwa huyu mtu nimeifuta rasmi.

Drone akataze, kurusha hata kwenye taarifa ya Habari TBC akataze, leo anaongea upupu namna hii?

Rais mzima anajisifia mafuriko ya wananchi? Tena yakutengeneza?
Mkuu Hali sio Hali upepo wa siasa umebadilika,hivyo mzee kaisha kubali kwamba mziki wa upnde wa pili sio wa kitoto,na tatizo kubwa ccm hasa mgombea aliingia kwenye ulingo akiwa amejiamini Sana ,Sasa nashangaa kweli ccm chama Cha mda mrefu hakina watafiti ,au wapo hawakua wakitimiza wajibu wao ,katika kunishauri , mfano maisha magumu hata Kama alibana angalau kuanzia mwaka 3mwishoni angeweza kulegeza kidogo Sasa mzee kabana mpaka kipindi hiki ,anategemea nini,vipo vitu vingi angeweza kuvirekebisha ,Sasa watu wamechoka na ogopa mtu aliechoka mda wowote anakua anasubili chanzo tu alipuke,ndo maana wadau mbali mbali wanawambia tume kutocheza na uchaguzi huu ,na kwa Sasa ndo wakutuvusha au la tz ipo mikononi mwao,na mungu aingilie kati
 
Magufuli bwana, ninaanza kuamini wanaosema mzee kachanganyikiwa. Yaani hajui kuwa maRc na ma Dc wake nao wana watoto wanaohitaji mkono kwenda mdomoni na pia kwenda shule!! Sasa wasipojaza nyanja waje wale wapi? Hiyo ni pamoja na kuwarubuni wasanii wa bongofleva kuwa uwepo wao unategemea kuwepo kwa ccm. Ninafikiri angekuwa na akili nzuri swali ambalo angejiuliza ni wapi alikosea katika projekti yake ya kuua upinzani (hususan CHADEMA) katika kipindi cha miaka mitano. Umefunga shughuli za upinzani kwa miaka mitano ili waTz wote wawe waumini wa magufulism, ghafla unaona waTz hao hao wanajikusanya wenyewe kukuambia wazi wazi kuwa fikira mbadala hazifi. Badala ya kutafakari hilo, rais mzima unabakia na vijembe vya low level eti nyomi!!!!
 
Ukweli uchaguzi huu kitengo cha uchakachuaji picha cha Chadema kimejitahidi sana kufanya kazi kubwa ya uchakachuaji pucha za nyomi wanastahiki kuongezwa mishahara
 
Back
Top Bottom