Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!
ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Wewe na Kiongozi aliyesema nani anajua zaidi?Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!
ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Endelea kukariri bwashee!Mheshimiwa Rais ameliona hilo, sisi wengine tusiishi kwa mazoea
Umesema kweli.Kukiwa na Tume Huru ya Uchaguzi Dunia itashangaaMheshimiwa Rais ameliona hilo, sisi wengine tusiishi kwa mazoea
Hajaitaja Chadema bwashee.Wewe na Kiongozi aliyesema nani anajua zaidi?
Hiyo Tume huru itashuka kutoka mawinguni?!Umesema kweli.Kukiwa na Tume Huru ya Uchaguzi Dunia itashangaa
Bwashee ndiyo nini?Hajaitaja Chadema bwashee.
Kikwazo cha CCM kwa sasa ni ACT wazalendo Zanzibar.......huku bara upinzani umeshazikwa ndio maana serikali nzima ilihamia Zanzibar nyakati za sherehe za mapinduzi ili kuweka mambo sawa.
Hujitambui tuHiyo Tume huru itashuka kutoka mawinguni?!
Endelea kusubiri Tume huru bwashee!Hujitambui tu
Hahahaaaa......... Anamkumbuka Abdul Nondo!Ukitamka neno ACT mwandishi Yerecko anakunja sura.
Ndio maana wanakuita vuvuzela! Mwenyekiti anaonyesha hadharani woga wake lakini wewe huna habari unakata mauno tuu kama Lugola?Molemo,
Chadema hii hii iliyokimbiwa na madiwani wake juzi pale Arusha na kuhamia CCM?!!!
ACT wazalendo walau wana umakini kidogo!
Nimeuliza Chadema hii hii inayokimbiwa na madiwani wake kila siku bwashee?!Ndio maana wanakuita vuvuzela! Mwenyekiti anaonyesha hadharani woga wake lakini wewe huna habari unakata mauno tuu kama Lugola?
Yeye ndiye anavyanzo vingi ndani ya chama na kesha jua kuwa ngoma inapasuka hivyo anatahadharisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukiamka nikuambie tafsiri ya ndoto yakoHajaitaja Chadema bwashee.
Kikwazo cha CCM kwa sasa ni ACT wazalendo Zanzibar.......huku bara upinzani umeshazikwa ndio maana serikali nzima ilihamia Zanzibar nyakati za sherehe za mapinduzi ili kuweka mambo sawa.
Bwashee wanaonunuliwa ni sawa na tone ndani ya bahariNimeuliza Chadema hii hii inayokimbiwa na madiwani wake kila siku bwashee?!