Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Rais Magufuli unawatesa walinzi wako

Aisee siku hizi Watanzania tunapenda sana kuongea mambo yaliyojuu ya uwezo wetu.
 
Ni hatari kwa umbali huo kusafiri kwa njia ya barabara hasa ukanda huo ambao una matukio ya utekaji wa Mara kwa Mara
Ndugu zangu ulinzi wote duniani unatolewa na Mungu. Kwenye ndege, majini au barabarani si salama kama mnavyodai kwani wangapi wamekufa kwenye ndege mnamkumbuka George Saitoti? Mwekeni Mungu mbele kwenye kila jambo au tukio. Magufuli analindwa na Mungu mwacheni afanye kazi zake kama anavyopanga ninyi mnaoamini kupiga ramli na kulindwa na majini hamsini endeleeni.
 
Walinzi ndio washauri wake wa hayo mambo wanaoshauri hivyo kuwa asafirije.Fani za watu hizo achana nazo.

Usafiri hata wa anga kabla ya kusafiri wanausalama lazima wakwambie tumia.Hata angani si salama hujasikia maraisi ndege zao kutunguliwa.

Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?

CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
Mbeya3.jpg
Yakuchomea nini.....mkuu
 
hahahahahahahahahahahahaah kwa kwa kwa kwa hahahhah tehe tehe tehe kwidi kwidi kdwidi hahahahhaahh

Walinzi wanajua cha kufanya waachie kazi yao.Si watu wa kuchoka hovyo.Walinzi wa RAISI UNAFIKIRI ni sawa na walinzi wa CHADEMA wale wanaovaa miwani ya kuchomea magrill?

CHEKI WALINZI WA CHADEMA NA MIWANI YAO YA KUCHOMEA VYUMA
Mbeya3.jpg
[/QUOTE]
 
watu wengi wanasema kwamba ana moyo wa plastic amewekewa passmaker inavyoelekea ameshauliwa na madaktari asitumie usafiri wa anga , ndio maana anatumia mara chache sana huyu ni raisi ataingiizia hasara nchi hii kwa matrilioni huo ulinzi wa mtu kusafiri masaa sita madara 100 yangejendwa naye ni jipu anapaswa kutumbuliwa
 
safi sana vijana wa chadema na hawawezi kupoteza muda kwa mtu anayependa maigizo ana miezi sita ikulu hajatambua yeye ni raisi shida sana nchi hii kuanza kupata dicktetor bado kidogo hao walinzi wake atawambiya wambebe kwenye machela
 
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?

Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.

Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.

Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?

Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.

Funga bakuli lako inakuhusu nn? Fuata shughulI zako upate kuishi vzr wewe na familia yako. Hata angeamua kusafiri na bajaji inakuhusu nn. Hayo ni mambo ya utawala wa nchi.
 
Tena Kwa TAARIFA Yako Presidential Protection TEAM Yake Inafurahi Mno Kutembea Kwa Barabara Na Mkubwa Wao Ili Wamwonyeshe Kuwa SERIKALI Yake Kamwe Haikupoteza Pesa Zake Kuwapekeleka Kusoma au Kufanya Hayo MAFUNZO Yao Ya KIULINZI. Sitaki Niende Deep Kwani Watakuja Humu Wenyewe WABOBEZI Wa Hii Kitu Ila Kwa UPEO Wangu Mdogo au Haba Wa Masuala Ya ULINZI Wa Marais Ni Kwamba KIITIFAKI Kila Kitu Chake HURATIBIWA Mapema Sana Na Kwa UANGALIFU Mkubwa Wa Madhara au Faida Na Ukiona Mpaka Rais Anapita Mahala Fulani Basi Jua WANAMUME Walishajiridhisha KIUSALA Kwa Mapana Yake. Na Usisahau Pia Kuwa Hata Anapokuwa Anasafiri Kwa Barabara AMINI USIAMINI Humo Njiani Kote Hasa Yale Maeneo HATARISHI ( Kijajusi Huita POTENTIAL TARGETS ) Zote WANAMUME Huwa Hapo Huku Maeneno Mengine Na Hata Katika MSAFARA Wake Wakiwemo WANAMUME Kadhaa Wa Njia Panda Na Mdaula au Bwawani Ambao WAKIAMUA Dar es Salaam Wote TULALE Saa 12 Jioni Inakuwa Hivyo Kutokana Na Shughuli Yao Ya KUTUKUKA Ambayo Hata WAASI Wa M23 Kule Congo Kinshasa WANAIJUA Na KUITAMBUA. Mwisho Usisahau Mkuu Kuwa Hakuna Watu LOYAL Na Patriotic Kwa Nchi Yao au AMIRI JESHI MKUU Wao Kama Hao ( WANAMUME ) Wa Makumbusho Na Makao Makuu Upanga Na Amini Kuwa Rais Wako Yupo 100% Safe Na Hakuna TAKATAKA Yoyote Awe Yupo Tanzania au Nje Ya Tanzania Anaweza KUMDHURU Kwa Njia Yoyote Ile. INTELLIGENCE Ya TANZANIA Ni Very Extraordinary Hasa Katika VIP PROTECTION. Sisi Wenyewe Huku Kwetu Nchini Rwanda Nilipo Sasa Tunawaonea WIVU!
Pamoja na kwamba ulinisababishia Ban.....mkuu umeongea POINT kweli kweli Leo.........
 
Acha kusifia Ujinga. Kuna msemo unasema " Kama Elimu ni gharama, Jaribu Ujinga"

Kumbuka Usalama ni gharama. Ili uweze kuwa Salama ni lazima uwe stable, reliable and trustworthy. Ni lazima usome Mazingira na nyakati hata kama unawalinzi wa namna gani...,

Unadhani "Commando Mamadou Toure" hakuwa na walinzi pale Beni wakati anauwawa? Uliza aliuliwa na watu gani? Na kifaa gani kilimuua?

Hakuna watu wanafki kama warwanda. Nimekaa Congo na jirani ya maeneo ya Rwanda; I understand these people very well.

Kuna vitu vya kupunguza gharama , na vitu vingine sio vya kupunguza gharama.

Anachofanya Rais ni kutafuta sifa kwa kujifanya baharia ( kurisk maisha) ; kuishi kwa mazoea wakati ulimwengu umebadilika.

Waovu wa sasa wanatafuta headlines na si kitu kingine. Safari kama hizo hapaswi kuzitangaza , ; atangeze zile anazokwenda na ndege.

Mnawapa Magaidi opportunity na hamu ya kuwekeza TANZANIA...,

Ushauri; Afanye kama Rais wa Cameron, yeye huwa anasafiri , mfano ;- kutoka Mwanza hadi dodoma hupanda gari huku akiwa na wanajeshi wakutosha then wakati wa kurudi hupanda ndege; safari zake za gari huwa hazitangazwi

MAGUFULI aache kutafuta sifa mpaka kwenye mambo ya Usalama. Ukibana gharama mpaka kwenye Usalama maana yake nini?
Okay, nimekuelewa!

Je! Yeye ni rais wa kwanza kutumia barabara Tanzania?! Unakumbuka Nyerere, na Mwinyi na hata Ben walitumia usafiri gani mara nyingi?!Navyojua, rais aliyetumia anga mara nyingi ni JK.

Labda uniambie ni nini kimebadilika kwa watanzania wa leo, kiasi cha kuanza kutilia shaka usalama wa Rais wetu huyu kipenzi?!

Je! Ni chuki zenu binafsi kwa namna anavyojaribu kuitengeneza Tanzania au nini?!

Mnanishangaza sana! Kila atakachofanya rais, ninyi mnasema anatafuta sifa! Mnataka afanye nini?!

Issue, hata usafiri wa anga, unaweza kutunguliwa tu.

By the way, sijaelewa hapo mwisho ulipowaingiza Wanyarwanda!
 
Binafsi siungi kabisa rais kusafiri kwa kutumia gari. Hasa huyu mtumbuaji anadili na watu wenye nguvu sana na walio kwenye mfumo pia, ma drug lords, mafisadi etc.
Kwa kweli afuate ushauri wa watu wake wa ulinzi, kama wamemuunga mkono, sawa! Ila binafsi siko comfortable.
 
watu wengi wanasema kwamba ana moyo wa plastic amewekewa passmaker inavyoelekea ameshauliwa na madaktari asitumie usafiri wa anga , ndio maana anatumia mara chache sana huyu ni raisi ataingiizia hasara nchi hii kwa matrilioni huo ulinzi wa mtu kusafiri masaa sita madara 100 yangejendwa naye ni jipu anapaswa kutumbuliwa
Acha kukalili story za vijiweni ww
 
Watu wengine wanatumia makalio kufikiri. Mpaka wameamua haya wameshafanya tafakuri ya kutosha
 
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?

Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.

Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.

Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?

Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
naona sasa sinema za ngumi zinavotuharibu bila kujua pale wanakuwa wanaact tu
 
Acha kusifia Ujinga. Kuna msemo unasema " Kama Elimu ni gharama, Jaribu Ujinga"

Kumbuka Usalama ni gharama. Ili uweze kuwa Salama ni lazima uwe stable, reliable and trustworthy. Ni lazima usome Mazingira na nyakati hata kama unawalinzi wa namna gani...,

Unadhani "Commando Mamadou Toure" hakuwa na walinzi pale Beni wakati anauwawa? Uliza aliuliwa na watu gani? Na kifaa gani kilimuua?

Hakuna watu wanafki kama warwanda. Nimekaa Congo na jirani ya maeneo ya Rwanda; I understand these people very well.

Kuna vitu vya kupunguza gharama , na vitu vingine sio vya kupunguza gharama.

Anachofanya Rais ni kutafuta sifa kwa kujifanya baharia ( kurisk maisha) ; kuishi kwa mazoea wakati ulimwengu umebadilika.

Waovu wa sasa wanatafuta headlines na si kitu kingine. Safari kama hizo hapaswi kuzitangaza , ; atangeze zile anazokwenda na ndege.

Mnawapa Magaidi opportunity na hamu ya kuwekeza TANZANIA...,

Ushauri; Afanye kama Rais wa Cameron, yeye huwa anasafiri , mfano ;- kutoka Mwanza hadi dodoma hupanda gari huku akiwa na wanajeshi wakutosha then wakati wa kurudi hupanda ndege; safari zake za gari huwa hazitangazwi

MAGUFULI aache kutafuta sifa mpaka kwenye mambo ya Usalama. Ukibana gharama mpaka kwenye Usalama maana yake nini?
mkuu umeandika vyema....kuna watu humu wanaushabiki wakijinga, wao wanasifia kila kitu, mtoa mada hakusema kama usalama ni dhaifu kiasi cha kushindwa kumlinda rais lkn alichosema anawapa kazi kubwa kuliko angetumia usafiri wa anga.... hapo kosa lake nn mpaka wanamshambulia?
 
Wataanza na NSSF kisha NHC na kuendelea mpaka Wizara zote pesa zote zilizoibiwa zitarejeshwa na Safari hii Serikali itapata nyumba nyingi za kutaifisha toka Kwa Mafisadi huenda watumishi wa umma wakarejea Oyesterbay na Masaki Kwa style ingine kabsa,
Yangu macho....
 
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?

Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.

Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.

Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?

Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.
No sense
 
Kwa hiyo mtazamo wako unadhani, yeye Rais ameamua kutumia barabara hivi hivi tu bila kujiandaa na kuandaliwa?!

Unafikiri suala la kumlinda anajiamulia yeye!?

Naiamini system yetu ya usalama! Ukiona wameruhusu, jua wamejiandaa; Wanajua wanachokifanya.

Au movie za porini za akina Van Damme zinakupa mawazo hayo?!

Bachi! Mimi nichicheme mengi (In mmakonde's voice)!
Mi naona ki usalama iko poa zaidi maana huko anakokwenda kuna vichaa wengi na watunguaji si unakumbuka waliwahi kutungua ndege iliyo kua na viongozi wao wakuu?
 
Pamoja na kwamba ulinisababishia Ban.....mkuu umeongea POINT kweli kweli Leo.........

Akhsante Mkuu ILA Pole Sana Na Naomba Mno RADHI Kwa Kukusababishia Hiyo BAN Ila Tambua Tu Kuwa Hata Mimi Vile Vile Hizo BAN Nazipata Sana Hata Hivyo SIZICHUKII Bali Nazipenda Kwani ZINANITIA ADABU Kimtindo Lakini ZINANIJENGA Pia Kwa Namna Moja au Nyingine Hasa Katika Suala Zima La NIDHAMU Humu. Kama Utagundua GENTAMYCINE Yule Uliyemzoea Siyo Huyu Tena Nikimaanisha Kuwa NIMEJIREKEBISHA Kwa Kiasi Fulani Japo Sometimes MNANIKERA Ila Nawavumilieni. Nisamehe Mimi Kwa " Kukupigisha Shoti " Ukala Umeme ( BAN ) Wa JF.
 
Tabia yako ya kusafiri kwa gari umbali mrefu hujui ni mbaya kiusalama?

Unawapa wakati mgumu sana walinzi wako kukulinda.Uwe unapokea na ushauri mheshimiwa Rais.

Hivi huko maporini mtu akijificha na Rocket-Propelled Grenade akakuvizia itakuwaje wakati unajua fika ukanda huo silaha kibao toka Congo zinapatikana.

Hujui pale unapopanga na mahasimu wako wanapanga pia?

Halafu pia kutumia masaa 6 barabarani wakati ungeweza kutumia saa 1, matano ukafanya kazi nyingine ni,jipu au uvivu.

Habyalimana, former president wa Rwanda alitunguliwa na hiyo RPG akiwa kwenye ndege wakati wanakaribia kutua Kigali. Kwenye ndege hiyo hiyo, alikuwa Rais wa Burundi.

Iwe gari au ndege, wakiamua kufanya yao watafanya tu.
 
Back
Top Bottom