Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Unamhitaji na nani? sema unamhitaji sio sisi wewe na nani? kwenye post tuu umebaki ukitapata kama kuku aliyekatwa kichwa unaruka ruka tuu huku na kule huna lolote................ unamhitaji mwenyewe bwana sio sisi


Tupo wengi tu tunaomuhitaji Raisi Magufuli atuongoze kama wewe haumuhitaji ni sawa pia, lkn mimi nawajua watu wengi wanamkubali Raisi Magufuli 2020/25!
 
Inawezekana asilimia tisini ya wapiga kura ndani na nje ya Chama husika ni mafisadi, walarushwa na wahujumu uchumi "anaopambana" nao

Hofu ya kupambanishwa nao ndio msingi wa minyukano na sarakasi na vioja vya kudukuana

Kama takwimu kuhusu tabia za hao wapiga kura hazipo kama nilivyoeleza hapo juu basi tatizo laweza kua kwa mpigiwa kura mwenyewe
Naunga mkono hoja
 
Tupo wengi tu tunaomuhitaji Raisi Magufuli atuongoze kama wewe haumuhitaji ni sawa pia, lkn mimi nawajua watu wengi wanamkubali Raisi Magufuli 2020/25!
Unajua maana ya kuongoza au unabwabwaja, unaongozaje wakati njia huijui?
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
Waovu siku zote huwa wanakua waoga!
 
Anaogopa kukosolewa na kushindwa naota lakini
Tatizo unaweza kuwa bora na bado ukashindwa, mara faulo inatengwa karibu na lango dakika ya 93, Mahrez anazamisha nyavuni na mpira unaishia palepale, ndo hali ya dunia lakini...
 
Tatizo aliwekeza zaidi kwenye kuwalisha watu matango pori kuliko uhalisia,sasa kadri muda unavyoenda anaona wadanganyika wameshitukia Matango pori yake,na shamba la matango pori ndo linaishia,sasa bila kutumia nguvu 2020 akipata mshindani iwe ndani au nje atawalisha wadanganyika nini?Ataenda kuwaambia nimejenga hospital wakati hazionekani?
Kweli ujijui si ajabu ata jinsia yako huijui
 
Wewe unaogopa nini kuja na jina lako halisi halafu ndio umnyooshee kidole mtu mwingine una fikiri anaogopa?
Unasemaje wewe zwazwa😲
Screenshot_2019-07-26_234253.jpg
 
Back
Top Bottom