Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Tupo wengi tu tunaomuhitaji Raisi Magufuli atuongoze kama wewe haumuhitaji ni sawa pia, lkn mimi nawajua watu wengi wanamkubali Raisi Magufuli 2020/25!

Naamini unawasemea mapolisi ambao ndo wanaofanya kazi za sisiemu sasa hivi.. Takwimu za mwisho za Twaweza zilizomponza bosi wake Aidan Eyakuze, zilionyesha umaarufu wake uliporomoka mpaka kufikia asilimia 50, na hiyo ni mwaka jana..
 
Anaogopa upotoshaji.

Unakumbuka ishu ya water salute ya zile ndege mpya ilivyopotoshwa tukaambiwa ndege ni mbovu sijui zinachemka engine na wangapi walishaamini?

Ni hatari sana mkuu!
 
Naamini unawasemea mapolisi ambao ndo wanaofanya kazi za sisiemu sasa hivi.. Takwimu za mwisho za Twaweza zilizomponza bosi wake Aidan Eyakuze, zilionyesha umaarufu wake uliporomoka mpaka kufikia asilimia 50, na hiyo ni mwaka jana..

Sasa hiyo 50% siyo watu?
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy
Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?
Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.
Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?
Hofu ya Membe inatokea wapi?
#UtawalaWaMazingaombwe
Utawala wa mapambio....
 
Naamini unawasemea mapolisi ambao ndo wanaofanya kazi za sisiemu sasa hivi.. Takwimu za mwisho za Twaweza zilizomponza bosi wake Aidan Eyakuze, zilionyesha umaarufu wake uliporomoka mpaka kufikia asilimia 50, na hiyo ni mwaka jana..

Tunaishi nchi ya ajabu. Aidan leo hawezi kusafiri na anaishi kwa kuchunguzwa na kufuatiliwa kisa katoa takwimu isiyompendeza Rais.

Huyu mtu angekua na chembe ya usomi angejiuliza ni vitu gani vimeshusha umaarufu wake na kuvifanyia kazi. Lakini ni mshamba na anamini ni watu wanaotumika, mabeberu na mafisadi wanamfanyia hivyo. Hawezi kutazama kioo kuona tatizo ni yeye na hususani waliomzunguka wanaoamini sasa ni zamu yao kula na kutesa.

Si ajabu Aidan, pamoja na mzee wake, wana mchango mkubwa kwa nchi kuanzia kodi mpaka kujitolea kusomesha watu kuliko hao wanaojiita wazalendo.

Ipo siku haya wanayofanya yatawarudia.
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
Mkuu umesahau kama amejenga ma stiegers gorge ,standard gauge ,kanunua ndege huku watu wanakufa njaa akifikiri watayala hayo mamiradi yake ana hofu ya nini ? Watu wenye njaa mitaani si atayakatakata vipande vipande awagawie RAIA wayale .
 
Toka lini dictator akapenda changamoto??
 
Halafu alishasema kazi ya urais ni ngumu na akasema angetamani kupokewa kama ingekuwa inawezekana. Tena akasema alikuwa hana nia ya kagombea alikuwa anabip tu lakini wakamsukumizia tu sasa sijui imekuwaje anataka abaki mgombea pekee
 
Kweli ujijui si ajabu ata jinsia yako huijui
2015 gia ilikuwa mafisadi sasa mpaka leo 2020 ufisadi ndo umetamalaki zaidi huku ikulu ikiwa moja ya watuhumiwa,Kuna nini tena hapo
 
So your thinking ends at your family level? Pathetic!

Ndiyo, inaanzia kwenye familia yangu, au wewe ulitaka ianzie wapi? Au wewe unafikiria familia ya Mbowe kwanza kabla ya kwako?
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe
anaogopa taswira yake mbele ya jamii,hamna nama lazima aikubali sura yake kwenye kioo
 
Ameandika swahiba #Dk_Levy

Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?

Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.

Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?

Hofu ya Membe inatokea wapi?

#UtawalaWaMazingaombwe

Hivi umzingue muuza madawa ya kulevya halafu utembee kama hawaishi kwenye dunia hii? You will be a fool. Unajua Thomas Sankara aliambiwa mapema juu ya kupinduliwa kwake akadharau. Kilichofuata sote tunakifahamu.
Ni hivi, kina Membe na wenzake bado wako kwenye Enzi ya kuwa vigogo. bado wanaamini lazima watuongoze kwa heri au kwa shari.
Kwanini umuachie tu mtu huyo aende kama anavyotaka? Mbona tunamjua!!
 
Back
Top Bottom