Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Rais Magufuli, unaogopa nini kwa Membe?

Umesema vema, tatizo Ni viongozi wa ccm kukandamiza wanachama wenzao...katiba inaruhusu mchujo ndani ya chama...
 
Shida nyingine ni fikra za kijamaa. Eti kapita bila kupingwa! Hii fikra itaendelea kutufanya maskini milele na milele amina. Sasa Mtu mwingine akigombea dhidi ya Magu basi msaliti, hafai khaaa utadhani watoto wadogo. Demokrasia lzm watu wachuane halafu mshindi akipatana kihalali hata aliyeshindwa atamuunga mkono mshindi. Hence amani na mshikamano kwenye chama.
 
Tundu Lissu anatumia Jeshi la Kukodi toka Ujiji ku beep Wachagga

Matibabu yake yanagharimiwa na Mabeberu waliotafutwa na Zitto sasa ile michango imeenda wapi?, Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanahoji

Fedha za mauzo ya tishert za jina lake zimepeperushwa
Utakuwa una ugonjwa fulani. Wahi kamwone daktari. Kilangila.
 
Back
Top Bottom