Kwanini anadukua mawasiliano Kama yeye sio muoga?kwan amesema anaogopa au wewe ndio unahisi anaogopa?
Hakuna anayempenda huyo kama kweli anajiamini wamuache Membe kama hajapata kura za aliowateua pekee kwenye mkutano wa Nec, na safari hii ni zamu yake kukatwa haahaha
Paranoia and inferiority complexHofu ya Membe inatokea wapi?
Na wewe tutajuaje ni wewe RuttashobyaWewe unaogopa nini kuja na jina lako halisi halafu ndio umnyooshee kidole mtu mwingine una fikiri anaogopa?
HIZI NI DALILI KWAMBA UMETUMA HUU UJUMBE UKIWA CHOONI HUJAMALIZA HAJA NDO MAANA UNALETA HIKI KIPINDUPINDU HAPA JF NYAMBAFU WEYE.Wewe unaogopa nini kuja na jina lako halisi halafu ndio umnyooshee kidole mtu mwingine una fikiri anaogopa?
HUYU NI RUTASHOBWENGWANa wewe tutajuaje ni wewe Ruttashobya
mbona maana inaeleweka au ww ndo hujui maana ya hilo nenoUnajua maana ya ,,tyrant“ ? Au unarusha tu maneno bila ya kuyaelewa?
Hata ungekuwa wewe usinge kubali tusidanganyane hapa, unazani yeye Hana akili Wala uchungu na mwanae Bashite. Na pia ukumbuke pale hazina Kuna mtoto wa dada ndo anayejua tu zile tillions za CAG zilipoAmeandika swahiba #Dk_Levy
Kama anafanya kazi vizuri. Kama anajenga miundo mbinu, kaleta nidhamu ya kazi serikalini. Kama amedhibiti mafisadi na kubana matumizi ya hovyo. Kama anakusanya mapato vizuri na kugawa keki ya taifa kwa usawa. Kama ujenzi wa kiwanja cha ndege Chato na mbuga ya Burigi, ni jambo la faida kwa taifa. Kama kweli anatoa elimu bure na huduma za afya hivi sasa ziko sawa. Hofu kwa wapinzani inatoka wapi?
Kama kweli CCM ya sasa ni mpya. Kama kweli kadhibiti mapato na mali za chama. Na kama kweli CCM wote wanamuunga mkono.
Huyo Membe akitaka kuomba ridhaa ya kugombea 2020 kupitia CCM. Nani atampa kura kama CCM ya sasa yote ni mpya?
Hofu ya Membe inatokea wapi?
#UtawalaWaMazingaombwe
????Tundu Lissu anatumia Jeshi la Kukodi toka Ujiji ku beep Wachagga
Matibabu yake yanagharimiwa na Mabeberu waliotafutwa na Zitto sasa ile michango imeenda wapi?, Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanahoji