technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,680
- 58,686
- Thread starter
-
- #81
Mkuu nisawa pia lakini hilo lisitufanye tusieshimu mawazo huru ya watu wengine natamani ningekuwa na kuinbox out of this forum!!Naona hata hujui nini nimeandika mkuu,nimekujibu kuwa hapa jf kuna watu wa aina mbalimbali wengine ni watu wa kutoka sehemu nyeti serikalini na wana jua mambo mengi sana ya serikali kuliko unavyo onyesha kuhoji
Kwa taarifa yako jf kuna kila aina ya kada kuanzia wajinga,wasomi,wapelelezi,mahakimu,na kada nyingine hivyo kuwa huruMkuu nisawa pia lakini hilo lisitufanye tusieshimu mawazo huru ya watu wengine natamani ningekuwa na kuinbox out of this forum!!
Asante
Like za kutosha mkuuAcha kubwabwaja bhasii hii sio fb bhana hapa ni jf kama una uxhahidi wakutosha weka mambo hadharani sio kuleta habar za kwenye vijiwe vya kahawa.
Wapuuzi kweli hawa waduduMkuu hapa wanaotafutwa kusemwa ni Ukawa ,wanazi wa CCM wanapenda kupika majungu sana hata kama ukweli unajulikana.
Haaah urbanGantlemanHii ni nchi siyo wodi ya wogonjwa wa akili
Exactlysitashangaa. Siasa ya Tnz aliye adui wa adui yako ndo aweza kukusaidia japo ktk mazingira hatarishi upande wake na wako. Pls go ahead! How is Polepole doing?
Ukua unamaanisha RuralGentleman??Haaah urbanGantleman
Wewe utakuwa bushGentleman
Sijawai mtukana Dr slaa maishani but nilichukizwa na ujio wa fisadi nikaondoka na DrWatanzania ni wanafiki sana,alipogombea urais mlikuwa mnamwita jina gani?
Rural iko na unafuu mkuuUkua unamaanisha RuralGentleman??
Kwa akili yako Dk Slaa aliondoka Chadema kwa sababu ya ujio wa Lowasa Chadema, siyo?Sijawai mtukana Dr slaa maishani but nilichukizwa na ujio wa fisadi nikaondoka na Dr