robinson crusoe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2020
- 740
- 1,214
Mbona mlikuwa mnasema amekula?Sasa kwani kuna rambirambi za tetemeko mikoa mingine?
Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995Mbona mlikuwa mnasema amekula?
Una maana mikoa mingine waiombe serikali iwaletee na wao tetemeko la ardhi? LOLSasa kwani kuna rambirambi za tetemeko mikoa mingine?
Fara si katika ubora wako.Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Weka ushahidi wa wizi wakeAmekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Amenunua nyumba 2 maghorofa ya NIC kwa ml 6 dodoma.Weka ushahidi wa wizi wake
India 🇮🇳 walitoa bil 500 na uingerezaAmekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Dola Ya Rumi AmaKujenga ihungo mpya kila mkoa ni mpaka Chato itakapokuwa jiji au dola kamili.
Fedha zote zinaelekezwa Chato kwa Sasa.
Dola la BahimaDola Ya Rumi Ama
😎😎😎😎
Amekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Kumudomo aiseee, kwenye hirani yangu, sikuahidi kuwareteeni tetemekhoAmekula ndio kwani uwongo. Kaiba tena bila aibu na matrilion ni mlafi. Kumbuka hela ya rambirambi ilizidi Bilion 20. Zingine zimeenda wapi? Hulka yake ni wizi toka 1995
Ihungo iko Chato?Kujenga ihungo mpya kila mkoa ni mpaka Chato itakapokuwa jiji au dola kamili.
Fedha zote zinaelekezwa Chato kwa Sasa.
Soma heading ya thread uelewe we Lumumba.Ihungo iko Chato?