Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

robinson crusoe

JF-Expert Member
Oct 22, 2020
740
1,214
Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo.

Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako kujenga shule zingine za aina hii ktk kila mkoa.

Gharama ya Bilioni 10.5. Ukitenga Bilioni 400, zitatuweka kwenye ramani mpya ya shule za sekondari. Bilioni 400 ni kiasi sawa na kile cha Escrow. Kwa makusanyo ya Trilioni 2, hiyo ni sehemu ndogo sana lakini yenye kishindo kikubwa ktk elimu.

Hii itatusaidia kuachana na na tabia ya kukimbilia shule za binafsi kwa ushindi wa division bila kitu vichwani.
 
Shule za binafsi zimemkosea nini na wote wanafanya kazi moja ya kuisaidia serikali?
 
Kabla ajajenga hizo shule kila mkoa aanze kwanza kubadir mfumo wa elimu yetu kwanza
 
Kamba ile hela zilipigwa kaona aibu atawaambia nn wahaya kaenda na huo uongo wasihoji hela za maafa zililiwa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom