CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Anatwanga nini?huu ujinga au?Poleni sana. Magufuli hakopeshi. Anakutwanga mchana kweupe
Wewe kweli ng'ombe kama hujui lwaitama ni dr tena wa philosophy sio wa ku fake vyetu he is strict and straight forwardHiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
Mweleze mkuuWewe kweli ng'ombe kama hujui lwaitama ni dr tena wa philosophy sio wa ku fake vyetu he is strict and straight forward
Kwani ndiye huyu?Umerudi kutoka Mombasa?
Ni kwa sababu ya utumwa wako na ujinga wako wa kukubali kila kitu kama dodoki lizamishwapo kwenye maji takaHiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
kajitwanga mwenyewe kumpa mko wa Dar es salaam mtu aliyelaanika kama makonda , hana nidhamu Tanzania nzima wanamjuwa kwa kazi za kuwapiga wazee waliotumikia taifa hili amejishusha hadhi ndio maana kadri siku zinavyooenda ndivyo anavyopuuzwa ajiangalie makonda atamzamisha Dar es salaam au amesahau ni mfunga gidamu za viatu za mahasimu wake kisiasa
Una matatizo wewe si bureHiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
jina lako linasadifu unachokiandikaKwel bwana kam vp tuandamane
Poleni sana. Magufuli hakopeshi. Anakutwanga mchana kweupe
Umeuwa MkuuKamuukize Kipanya alikuwa na maana gani kusema "Taulo la Guest halikaushi maji mwilini"
Umeuwa Mkuu
Hi tabia ya magufuli kufanya kazi kwa visasi inamshusha heshma yake
Kama nyie Dunie inavyowajua kwa ukurunzinzaLwaitama amepoteza dira Siku hizi.