Rais Magufuli ni mchochezi

Rais Magufuli ni mchochezi

Naona hoja za msingi za kumjadili Rais Dkt. Mgufuli mmekosa.

Mwanahabari Huru, mwambie Dk. Azaveli Lwaitama kuwa Watanzania tunaitaji Katiba ya waananch nasio ya Warioba.
 
Hiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
Wewe kweli ng'ombe kama hujui lwaitama ni dr tena wa philosophy sio wa ku fake vyetu he is strict and straight forward
 
hivi vyeo vya kifalme ni mojawapo ya matatizo yanayoisumbua nchi hii. hawa watu wanalipwa fedha nyingi sana pasipo sababu. fedha zinazotumika kuwatunza wafalme hawa zingeelekezwa kwenye huduma za kijamii nchi hii ingekuwa mbali sana.
 
Hiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
Ni kwa sababu ya utumwa wako na ujinga wako wa kukubali kila kitu kama dodoki lizamishwapo kwenye maji taka
 
kajitwanga mwenyewe kumpa mko wa Dar es salaam mtu aliyelaanika kama makonda , hana nidhamu Tanzania nzima wanamjuwa kwa kazi za kuwapiga wazee waliotumikia taifa hili amejishusha hadhi ndio maana kadri siku zinavyooenda ndivyo anavyopuuzwa ajiangalie makonda atamzamisha Dar es salaam au amesahau ni mfunga gidamu za viatu za mahasimu wake kisiasa

Makonda ni mwehu flani hivi.
 
Hiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
Una matatizo wewe si bure
 
Yeah, the true colours of Magufuli are finally coming out. Tuliofikiri mipasho ni himaya ya gwiji wa Msoga tuanze kujitafakari taratibu.
 
Hi tabia ya magufuli kufanya kazi kwa visasi inamshusha heshma yake
 
Hi tabia ya magufuli kufanya kazi kwa visasi inamshusha heshma yake

Kwa kawaida Tabia ya mtu inaendana na Hulka yake.Hulka ya JPM ni visasi na uhasama ukichanganya na ukatili,kubadilika sidhani kama inawezekana.Nahisi hata CCM Atapata challenge kupata muhula wa pili.
 
Back
Top Bottom