Rais Magufuli ni mchochezi

Rais Magufuli ni mchochezi

Siasa zimekwisha. Tujielekeze kwenye utendaji kama mhusika anafanya kazi au la. Ambaye haoni umuhimu wa uwepo wa Wakuu wa Mikoa au Wilaya hajafanya kazi katika sekta ya umma. Ni muhimu kujiongeza kwa kusoma sheria zinazowapa Mamlaka ya kiutendaji. Aidha, kama wasingekuwepo majukumu yao yangetekelezwa na nani
 
duh Kuna watu hamnazo kabisa, Dr Lwaitama hajapewa udr WA heshima. Watu wamesoma acha udandara arifu
😡
 
Mwanahabari nimekushauri kuhusiana na tabia yako ya kujiona uko so free kiasi cha kushindwa kuchagua heading ya thread zako. Wewe ni kijana bado, unayo mategemeo mengi mbeleni, be careful na lugha inayotumia haswa unapomuongelea rais wa nchi. Nakushauri nikiwa mwandishi na mdau wa habari kama wewe. My good friend kuwa mwangalifu na emotions zako, zinaweza kuwa na madhara kwako in the future.

Soma kilichopo ndani nafikiri unataluma kama mimi
 
jaman mwenye picha ya hyo dr aitume, maana m nmemsahau, huenda maneno mengine nikayaacha baada ya kumuona.. plz tupia picha hapa
 
Siasa zimekwisha. Tujielekeze kwenye utendaji kama mhusika anafanya kazi au la. Ambaye haoni umuhimu wa uwepo wa Wakuu wa Mikoa au Wilaya hajafanya kazi katika sekta ya umma. Ni muhimu kujiongeza kwa kusoma sheria zinazowapa Mamlaka ya kiutendaji. Aidha, kama wasingekuwepo majukumu yao yangetekelezwa na nani
Sheria zinatungwa na Bunge kwa hiyo hata Bunge linaweza kutengua pia
 
Soma kilichopo ndani nafikiri unataluma kama mimi
Heading ya habari yako inaweza kuchafua hata maana nzima ya ujumbe uliotarajia kuupeleka kwa jamii. Kichwa cha habari kipo too harsh, ndio kitu ninachotaka kukueleza. Neno uchochezi ni kali sana, ungejaribu kutafuta njia ya kupunguza makali hata kama ujumbe ukibakia ulivyo.
 
Mpaka siku mmoja akimtwanga na yeye makofi ndo atajua kunguru hafugiki
 
Wacha meya na mkuu wa mkoa washindane kupiga kazi,mwenyenguvu na adumu! by the way ajira ni muhimu so serikali isifute izo nafasi za wakuu wa wilaya na mikoa Ila wazifanye ziwe za kuwatumikia wananchi bila uchama mwiingi ndani yake.
Mbona nikama watu washamgwaya Makonda? Kilamtu asimamie malengo yake kikamilifu bila kuwazana.Yote kwa yote kuiongoza dar kunahitaji hekima,uzoefu,kujiamini na jitihada nyingi hivyo meya na mkuu wa mkoa wakae sawa
 
Critical thinker katika ubora wake.
Lakini pia Mh.Rais he may be also among the critical thinkers
we have.What we need is time and space other dimensions may be
questionable.
Issues za umeya na ukuu wa mkoa should be remain constant
provided that 5years in office is nearby.(a mix of time and events sometime may useless,let time pass and event follow).
 
Hiki kilwaitama sijui kwanini huwa nikikiona natamani kukizabua vibao.
Yaani hakinaga point,halafu eti nasikia ni mwalimu wa chuo kikuu,no wonder degree fake zimezidi mitaani
wewe kula futari ulale mmeharibu nchi kwa miaka 10
 
Heading ya habari yako inaweza kuchafua hata maana nzima ya ujumbe uliotarajia kuupeleka kwa jamii. Kichwa cha habari kipo too harsh, ndio kitu ninachotaka kukueleza. Neno uchochezi ni kali sana, ungejaribu kutafuta njia ya kupunguza makali hata kama ujumbe ukibakia ulivyo.
Sikutegemea wewe mwandishi mwenzangu kuja na hoja nyepesi namna hiyo anyway ndio muonekano wako lakini
 
Poleni sana. Magufuli hakopeshi. Anakutwanga mchana kweupe
Ni kweli lakini ninachoona mimi kuna wakati anakuwa na uswahili ambao kwa hali ya kawaida watu wa bara huwa hawana kauli za vijembe. Kutoongea kwake kiingereza kizuri naweza kuvumilia, vijembe kwa Rais havifai. Tunaomba abadilike.

Kuhusu Makonda mimi binafsi sioni ubaya, na hata kabla rais hajatamka nilihisi aliteuliwa ili counter act nguvu za Ukawa Dar. Meck Sadik angepandwa kichwani. Ninachotaka kuona pande mbili zikifanya kazi pamoja.
 
magufuli ni mnafiki mkubwa. kama kweli amelenga kubana matumizi ya serikali kwanini aendelee kuwa na wakuu wa mikoa, wilaya na tarafa wanaotumia matrilioni ya fedha za umma bila sababu za msingi?
Kuwa na adabu kwa mheshimiwa rais .huko kwenu huna wazazi
 
Mimi ambaye namfahamu Dr Lwaitama nashangaa sana hata kidogo huyu mwalimu kusema
RAIS John Magufuli anatajwa kuwa ni rais mchochezi na anayefanya mambo yake ili kuonesha anaendesha mapambano dhidi ya wapinzani wake,

------

Dk. Azaveli Lwaitama, Mhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amesema, yapo baadhi ya mambo ambayo Rais Magufuli amekuwa akiyafanya ili kukomoa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

“Mfano, siku chache baada ya kumteua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda aliongea kauli tata akaendelea na kauli hizo tata.

“Kuteuliwa kwa Makonda inatafsiri mpambano utakaokuwepo baina ya Meya mpya na yeye (Makonda) kwa kuwa, wanaoteuliwa na rais siku zote huwa wanajiona kuwa juu,” amesema Dk. Lwaitama.

“Hata Makonda nimemuacha Dar es Salaam ili wabaya wake wamuone akipanda cheo, wenye chuki wajinyonge zaidi,” amenukuliwa Rais Magufuli wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi namba mbili.

Amesema Dk. Lwaitama, Rais Magufuli anatakiwa kufanya kazi bila upendeleo kwa kuwa lengo ni kuwatumikia wananchi na si vinginevyo.

Dk. Lwaitama anasema hayo wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikilitumbikiza taifa kwenye sintofahamu ya kisiasa na kwamba, ni wakati wa wananchi kukataa utumwa.

Dk. Lwaitama anasema, wananachi wanapaswa kuondoka kwenye minyororo ya utumwa na kusimama katika kuhakikisha wanapigania haki pale inapoonekana kupokwa na watawala.

Anatoleo mfano ushindi wa vyama vinavyoundwana ukawa kuchukua Umeya wa Jiji la Dar es Salaam ambapo ndio Mji Mkuu wa Kibiashara Tanzania na kwamba, hatua hiyo inaanza kufungua minyororo.

“Wananchi wanatakiwa kujiandaa kimabadiliko na kuukataa utumwa kwani kwa muda mrefu walikuwa utumwani kwa kuongozwa na chama kimoja,” anasema Dk. Lwaitama.

Anasema, wananchi wa Dar es Salaam amekuwa wakijiuliza sababu za kughairishwa uchaguzi huo mara kwa mara “yote hii ni kwa sababu CCM inang’ang’ania madaraka.”

Akizungumza na mtandao huu leo Dk. Lwaitama anasema jeuri ya watawala wa nchi hii inatokana na ubovu wa Katiba na kwamba, udhaifu huo unakwenda mbali ikiwa ni pamoja na kuteua viongozi wabovu.

Miongoni mwa viongozi anaowaona kutokuwa na mantiki ya kuwepo kwao licha ya rais kuwa na mamlaka ya kuwateua ni pamoja na Wakuu wa Mikoa.

“Binafsi sioni kama kunahaja ya kuwa na wakuu wa mikoa wala wakuu wa wilaya kwani hao wanaonekana kuwepo kwa ajili ya kujitengenezea ulaji tu.

“Lakini kazi kubwa inatakiwa ifanywe na Meya wa Jiji ambaye ni mchaguliwa wa wananchi kwa kupitia madiwani.”

Dk. Lwaitama anasema, “Inatakiwa tukubali kurudi katika Katiba ya Warioba ili kuondoa mfumo huu wa kuwa na viongozi wengi ndani ya mkoa mmoja.

“Tunatakiwa kubaki na Mkurugenzi wa Jiji na Meya wa jiji tu ambaye amebeba ndoto za wananchi na sio Mkuu wa Mkoa ambaye ameteuliwa tu.”

Ukiona mwanafalsafa anatoa conclusion kutoka katika false premise ujue huyo kaishiwa eti “Kuteuliwa kwa Makonda inatafsiri mpambano utakaokuwepo baina ya Meya mpya na yeye (Makonda) kwa kuwa, wanaoteuliwa na rais siku zote huwa wanajiona kuwa juu, Kama kweli Dr Lwaitama kafikia hatua hii basi ni wazi anahitaji msaada wa haraka, tena msaada wa kwanza ni wa kujengewa nyumba kule kijijini kwao Bugabo akapumzike kwani uwezo wa kufikiri tena hana na sehemu ya kumalizia maisha yake hajaiandaa. Kwa mawazo haya anafaa akaanze uganga
 
“Hata Makonda nimemuacha Dar es Salaam ili wabaya wake wamuone akipanda cheo, wenye chuki wajinyonge zaidi,” amenukuliwa Rais Magufuli wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi namba mbili.

hivi kumbe na wasukuma nao wana mipasho kama ya msoga.
 
RAIS John Magufuli anatajwa kuwa ni rais mchochezi na anayefanya mambo yake ili kuonesha anaendesha mapambano dhidi ya wapinzani wake,
------
.....
Wapinzani wanataka "kurudisha usultani"? Teh teh
SAU%2B3.jpg
SAU%2B4.jpg

SAU%2B6.jpg
 
Tanzania kwa hapa ilipofikia inahitaji wasomi kama DR. Lwaitama. Ni msomi pekee TZ kwa sasa anaejitambua.
 
Back
Top Bottom