Rais Magufuli ni mchochezi

Rais Magufuli ni mchochezi

Mkuu hata warioba aliambiwa hivi kipindi cha bunge la katiba kwasababu alisema wasiyo yapenda kuyasikia, wengine walienda mbali na kusema kuwa alitakiwa kuwa amefariki! kisa ameongea wasiyo yataka
Wewe aliyoyasema Magufuli unayapenda kwa kiasi gani? Je, aliyoyasema ni ukweli au siyo? Naamini leo Magufuli akiisifia UKAWA mtapiga makofi sana. Unafikiri ni kwa nini?
 
Poleni sana. Magufuli hakopeshi. Anakutwanga mchana kweupe
kajitwanga mwenyewe kumpa mko wa Dar es salaam mtu aliyelaanika kama makonda , hana nidhamu Tanzania nzima wanamjuwa kwa kazi za kuwapiga wazee waliotumikia taifa hili amejishusha hadhi ndio maana kadri siku zinavyooenda ndivyo anavyopuuzwa ajiangalie makonda atamzamisha Dar es salaam au amesahau ni mfunga gidamu za viatu za mahasimu wake kisiasa
 
Mtashindwa
Awamu hii hatuta waelewa
Huyu ndio chaguo sahihi kwa Watanzania
 
Kama hana Points wewe huwa unamsikilizaga wa nini?...tuwe na tabia za wazungu hulipendi jambo unaliweka kando unashughulika na mengine...mtu humpendi ila bado unamfuatilia hii inaonesha kuwa unashughulika na uwepo wake.
Dr Lwaitama ni mmoja kati ya watu walioenda Chuoni kutafuta Elimu na sio kushangaa majengo tu.
Katika nchi kuna watu wenye PHD kama za hao waliopo ikulu ambao hawajawahi kusaidia taifa hili zaidi ya kujikomba kwa mkapa na Kikwete miezi karibu mitano tangu apewe ikulu hana analoliju zaidi ya visasi na udikteta nchi imegota hakuna kinachokwenda halafu kwenye safu yake anaongeza wapenda sifa kama makonda hana uzoefu busara wala heshima kwa wananchi unampa mkoa kajizika magufuli mchana kweupe no wonder kujionyesha eti ana mabastola
 
Climb to the roof top and shout loudly but mtakuwa mnatwanga maji kwenye kinu kama kawaida yenu. Kelele zenu zisizoisha hazitunyimi usingizi. A dog that can only bark but cannot bite is not worth its name.
 
Huyu Dr nae kaishiwa chakusema sasa. Kwani kumteua Makonda RC kunahusiana vipi na utendaji wa meya? Alitaka achaguliwe yeye? That's cheap for a PHD holder hata kama kazeeka. Mbona Meya wa Kinondoni hapa ni wa upinzani lakin anapewa support ya kutosha. Pumzika Dr, hz siyo zama za JK
 
Hivi Rais anaongoza nchi kwa kutumia nini? Atakavyoamka siku hiyo au ushauri wa mke wake?
Mlikimbia bunge maalum la katiba,Magu afanyeje?
magufuli si anajipambanua kuwa ni mzee wa kubana matumizi? sasa kwanini anaendelea kuwalipa mishahara wakuu wa mikoa, wilaya na tarafa wakati hawana faida yoyote katika nchi hii?
 
Huyu Dr nae kaishiwa chakusema sasa. Kwani kumteua Makonda RC kunahusiana vipi na utendaji wa meya? Alitaka achaguliwe yeye? That's cheap for a PHD holder hata kama kazeeka. Mbona Meya wa Kinondoni hapa ni wa upinzani lakin anapewa support ya kutosha. Pumzika Dr, hz siyo zama za JK
Hawa niwakudharau sana
 
Jibu hoja
 
Climb to the roof top and shout loudly but mtakuwa mnatwanga maji kwenye kinu kama kawaida yenu. Kelele zenu zisizoisha hazitunyimi usingizi. A dog that can only bark but cannot bite is not worth its name.
Ndio maana meamua kuamia Mombasa sasa hivi?
 
Wewe aliyoyasema Magufuli unayapenda kwa kiasi gani? Je, aliyoyasema ni ukweli au siyo? Naamini leo Magufuli akiisifia UKAWA mtapiga makofi sana. Unafikiri ni kwa nini?
Wala sijasema Magufuli anazeeka vibaya kwasababu kusema nisiyo yataka!....
 
Poleni sana. Magufuli hakopeshi. Anakutwanga mchana kweupe
Mbona maneno mengi kuliko utekelezaji, tuanze Na Tanzania yenye VIWANDA! Huku dar Maisha Ni magumu sana tofauti Na huko Lizaboni.
 
Back
Top Bottom