Nyarwadhnyarwath
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 1,157
- 586
Ukitaka kujibu hoja, fanya cross reference kwanza ili uwe relevant.Wala sijasema Magufuli anazeeka vibaya kwasababu kusema nisiyo yataka!....
Ukitaka kujibu hoja, fanya cross reference kwanza ili uwe relevant.Wala sijasema Magufuli anazeeka vibaya kwasababu kusema nisiyo yataka!....
Mkuu hata Lizabon analijua hiloKwa kukaririshwa maneno mko vizuri. Sisi tunafurahia sana hili maana mnalishwa ujingaa huku mkimeza bila kuuliza na mwisho wa siku mnabaki mkilia tu. Endeleeni maana ujinga wenu ni mtaji kwetu.
Maigozo on workMtasema na kusema Tingatinga liko kazini na kazi mnaiona tulieni jipangusheni vumbi
Mkuu Shein keshakuwa mwenyekiti wa CCM zenjiMaigozo on work
Haitusaidi sisi Tarehe 25 watu walishaamuaMkuu Shein keshakuwa mwenyekiti wa CCM zenji
Ukitoa vitisho unapata zaidi ya book saba. OkMleta mada badilisha kichwa cha habari, neno mchochezi lina maana mbaya. Ni neno kali sana. Nakushauri kwa nia njema sana, unayemzungumzia ni mkuu wa nchi, tafuta neno lisilo na makali kama hili la "uchochezi". Jaribu kuifahamu sanaa ya maongezi ya jamii. Be careful my good friend.
Hoja mufilisiUkizingatia kaenda shule, basi taabu tupu, kukosoa kwa kwenda mbele.
Wa buku saba ndio wa njaa zaidilwaitama anaumwa njaa
Wewe aliyoyasema Magufuli unayapenda kwa kiasi gani? Je, aliyoyasema ni ukweli au siyo? Naamini leo Magufuli akiisifia UKAWA mtapiga makofi sana. Unafikiri ni kwa nini?
Hoja zako zenye akili mbona hujaziandika tukaziona?. Unaleta mawazo ya kitoto wakati wewe ni mtu mzima.Hoja mufilisi
Kwani wewe unakuwaga na hoja?Hoja zako zenye akili mbona hujaziandika tukaziona?. Unaleta mawazo ya kitoto wakati wewe ni mtu mzima.
Mwanahabari nimekushauri kuhusiana na tabia yako ya kujiona uko so free kiasi cha kushindwa kuchagua heading ya thread zako. Wewe ni kijana bado, unayo mategemeo mengi mbeleni, be careful na lugha inayotumia haswa unapomuongelea rais wa nchi. Nakushauri nikiwa mwandishi na mdau wa habari kama wewe. My good friend kuwa mwangalifu na emotions zako, zinaweza kuwa na madhara kwako in the future.Kwani wewe unakuwaga na hoja?
Afadhali kunyamaza kuliko kuliko kuendekeza ukabila wakoHoja zako zenye akili mbona hujaziandika tukaziona?. Unaleta mawazo ya kitoto wakati wewe ni mtu mzima.
Hufahamu maana ya ukabila, unaongea kitu usichoweza kukielezea, ukisikia watu wanaongelea kitu fulani jaribu kuomba wakueleze kwa undani maana ya wanachokiongea.Afadhali kunyamaza kuliko kuliko kuendekeza ukabila wako
Ukimaliza kujitoa fahamu, fuatilia hoja zako zilikotokea, itakusaidiaHufahamu maana ya ukabila, unaongea kitu usichoweza kukielezea, ukisikia watu wanaongelea kitu fulani jaribu kuomba wakueleze kwa undani maana ya wanachokiongea.
Lwaitama sisi kina gogo la shamba tunamkubali,hoja zake ni za nguvuAlishaluwa hata balozi wa nyumba kumi?
Bwana mdogo viroba vitauharibu ubongo wako, mada inahusu rais kuitwa mchochezi, wewe unaleta mada nyingine tena, huoni kwamba hatumtendei haki mwanahabari na thread yake?. Jaribu kuwa kama mtu anayefikiria kabla hujapost kitu.Ukimaliza kujitoa fahamu, fuatilia hoja zako zilikotokea, itakusaidia
Pole sanaBwana mdogo viroba vitauharibu ubongo wako, mada inahusu rais kuitwa mchochezi, wewe unaleta mada nyingine tena, huoni kwamba hatumtendei haki mwanahabari na thread yake?. Jaribu kuwa kama mtu anayefikiria kabla hujapost kitu.