Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

IMG_20200902_203536.jpg
IMG_20200902_203541.jpg
 
Nchi ina watu wengi wa kutuongoza sio huyu
Tz sio ya mtu mmoja au kikundi cha watu
Bashite hakudeserve hata kuongoza viumbe wale wengine mbali ya mwanadamu
Asitusumbue
Asubiri kwenda kwa pilato tunaendelea kukusanya data
Documentaries ziko jikoni
 
Hahaha bado anaishi Dar es Salaam akiwa HANA KAZI YA KUFANYA?!

Apewe KADI YA MACHINGA ABEBE MZIGO, la sivyo arudishwe koromije!
 
Mmmmh!!! Mkuu wa Mkoa Mstaafu!!!!?
Amestaafu katika age ya 40s-+
 
Makonda alishajokomboa. Ametengeneza mamilioni ya shillings. Hao vijana kwanini wasijililie nafsi zao kwanza?!
 
Alicreate ajira kwa uvccm. Yaani anawatafuta wale ambao wana qualities za kufanya research anawapa kazi kufanya research mitaa inaikubali kiasi gani ccm na nini kiboreshwe.

50K per day.

Nilijuta kutojihusisha na siasa.

Anyway, mmoja wa waliokua kwenye hii project ameteuliwa kua katibu tarafa, there is no way Paul hakuhusika katika lobbying.

So nahisi Paul ana mkono kwa uvccm wengi, sitashangaa ikatokea kua ni kweli wameandika hiyo barua, as kufanikiwa Paul ni kufanikiwa kwao pia.
 
Back
Top Bottom