AmenMungu ampe maisha marefu kiongozi wangu wa roho Kadinali Polycarp Pengo.
Kazi gani tenafirstlady ni chombo hasa .. anafanya kazi nzuri
Mmmhh mkuu jinsi ulivyoziunganisha dots...umetisha sana.Nakubuka pia walimtembelea Hayati Samwel Sitta siku chache kabla haja RIP... Wana moyo mwema wa kuwatakia heri Wananchi..
yah kutabasamuKazi gani tena
yah kutabasamu
hata sijui
False smile
Kwanini?Bora ametembelee huyo kuliko alivyoendaga kwa Lusekelo!
AbsolutelyPendeza sana.
Katika hili acha nimpe JPM sifa zake, mama Janet analipa, hapa macho na moyo ulifanya kazi barabara.Mama kapendeza...
Ni kweli kabisaHata wewe NA mimi tunaelekea huko....
Hii ni tamathali au nini?kama naona kwa jicho la miwani.Nakubuka pia walimtembelea Hayati Samwel Sitta siku chache kabla haja RIP... Wana moyo mwema wa kuwatakia heri Wananchi..
Hafikii robo yako kama ukitinga kile kimini cheusi nlichokununulia Kuala Lumpur.Mama kapendeza...
Bora ametembelee huyo kuliko alivyoendaga kwa Lusekelo!