johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,994
Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa nyeupe kama theruji"
Na tena " Watoza Ushuru watatangulia kuuona Ufalme wa Mbinguni kabla yenu"
Ni vema CDF Mabeyo ametoa Ufafanuzi maana umezima uvumi mwingi ukiwemo ule wa COVID 19
Mungu wa Mbinguni mbariki General Mabeyo