Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

Huyo jamaa bodyguard anazidi kunona tu.kweli kaa karibu na waridi unukie.
Kabisa. Jamaa wakati Magufuli anateuliwa hakuwa na ung'aro huo. Safi sana. Ila namkubali kinoma. Body yake kweli inastahili awe hapo alipo.
 
Picha ya Mama Janeth imenigusa, kama sio mke wangu nyumbani kwa mwaka ningekuwa napata wageni wawili tu akiwemo msoma mita ya maji. Nina udhaifu mkubwa wa kuchanganyikana na watu, sina kiburi wala majivuno ila kumzoea MTU kwangu ni shida, acha mama aitwe mama
 
Ni Muadhama au Mhasham? Sijaelewa hii title mpya ya cardinali Pengo

Ni muadhama au kwa kiingereza His Eminence. Mhashamu ni cheo cha askofu, kwa kiingereza His Right Reverend. Na papa anaitwa His Holiness. Ndio vyeo vya viongozi katika kanisa katoliki.

Ila Pengo kachoka. Ni mwalimu wangu seminarini miaka hiyo.
 
Frammenti vocali in MO:Israele e Palestina: Patriarch Emeritus Michel Sabbah : Bethlehem Celebrates Another Occupied Christmas

Tunaomba Rais wetu atembelee Gaza.
WaTanzania Wakiristo leo mna Uhuru wa Kusheherekea Sikukuu hii ya Kuzaliwa kwa Bwana Yesu.
Wakiristo Waarabu hawapewi haki hii ya kusheherekea sikukuu hii tukufu na yenye Ubarikio huko nchini Israel.

Dubai: Waarabu wameweka na kupamba na vito vya thamani kubwa mti wa Xmas ambao unaosemekana ndio ghali kuliko miti mingi ya Xmas duniani. Wakati huko Israel, Mayahudi wenye siasa kali wamepinga kuwekwa na kupamba miti ya Xmas, wanasema sio kwenye Utamaduni wa nchi hiyo.

Waarabu wakiwa Wakiristo au Waislam, wanasadikisha Utukufu na Ubora wa Bikira Maria.

Wakumbukeni kwenye maombi yenu Wakiristo wenzenu watakao sherekea sikukuu hii katika hali ya makandamizo na utata chini ya jeshi la Israel.

Ni Waarabu wa Wakiristo wa Syria ndio jamii peke iliyohifadhi lugha ambayo Bwana Yesu aliyozungumza. Hatutasikia haya kwenye vyombo vya habari.

f7f5cc2e7220764e670e662551a2c0d8.jpg
 
Sure nilipoonana Naye 2010 alikuwa na nguvu lakini For now anaonekana kazeeka mno. Mungu amjalie maisha marefu
Hivi klikuwa kuna tatizo lolote kati Pengo na mhashamu kilaini?
 
Huyo jamaa bodyguard anazidi kunona tu.kweli kaa karibu na waridi unukie.
nasikia huyo jamaa alichomolewa toka kile kikosi cha wale jamaa walionyesha manjonjo ya kusherehesha siku ya uhuru pale taifa.
usimchukulie poa ukadhani mwepesi.
 
Hivi klikuwa kuna tatizo lolote kati Pengo na mhashamu kilaini?
Kulikuwa hakuna shida. Kilaini alitolewa Dar sababu ya kujihusisha na siasa. Dar waandishi wengi kumlobe ni easy. Tangu aende Bukoba hasikiki tena
 
Safi Mh. Jembe letu la UKWELI na hakika mama Magufuli ana maadili ya kiafrika haswa tofauti sana na mama wa hawamu ya jana kwani mpaka leo ana zaidi ya mwaka Ikulu ila sizani kama ameonekana kwenye vyombo vya habari na barabarani zaidi ya mara10 tofauti kabisaa na mama wa mwaka jana,,ukiangalia huyu,,ukiingia mtaani huyu hapa,,full show off!!!
Hahahaha
 
Mbona mama anavaaa manguo oversize siku hizi.

Nawaza tu hapa
 
Frammenti vocali in MO:Israele e Palestina: Patriarch Emeritus Michel Sabbah : Bethlehem Celebrates Another Occupied Christmas

Tunaomba Rais wetu atembelee Gaza.
WaTanzania Wakiristo leo mna Uhuru wa Kusheherekea Sikukuu hii ya Kuzaliwa kwa Bwana Yesu.
Wakiristo Waarabu hawapewi haki hii ya kusheherekea sikukuu hii tukufu na yenye Ubarikio huko nchini Israel.

Dubai: Waarabu wameweka na kupamba na vito vya thamani mti wa Xmas ambao unaosemekana ndio ghali kuliko miti mingi Xmas duniani.

Waarabu wakiwa Wakiristo au Waislam, wanasadikisha Utukufu na Ubora wa Bikira Maria.

Wakumbukeni kwenye maombi yenu Wakiristo wenzenu watakao sherekea sikukuu hii katika hali ya makandamizo na utata chini ya jeshi la Israel.

f7f5cc2e7220764e670e662551a2c0d8.jpg
Amen RA
 
Huduma ndani ya nyumba ya Mungu zinatofautiana! Huyu ni Kardinali Pengo yule kule ni Nabii Joshua. Hivo usitake kuchanganya huduma!
Umeelewa lakini au bado....Jiongeze mkuu mambo ya kwenda Nigeria sio issue kabisa
 
Back
Top Bottom