Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

Ni muadhama au kwa kiingereza His Eminence. Mhashamu ni cheo cha askofu, kwa kiingereza His Right Reverend. Na papa anaitwa His Holiness. Ndio vyeo vya viongozi katika kanisa katoliki.

Ila Pengo kachoka. Ni mwalimu wangu seminarini miaka hiyo.

Ahsante sana chifu, nimekuelewa kwa kweli. Ni kweli Pengo amechoka sana, afya imedorora. Pamoja na kufundishwa na mtu aliyekuja kuwa cardinali nchini bado ukakosa wito wa kuwa paroko mkuu? Ungefundishwa na padri wa kawaida ingekuwaje? Ungedrop seminary mapema sana nadhani. Hahahahaha
 
Naamini Pengo atauomba Juma asimpige pige mkewe tena ndani ya Jumba Jeupe takatifu!!! Ni aibu na fedheha!!
 
Ahsante sana chifu, nimekuelewa kwa kweli. Ni kweli Pengo amechoka sana, afya imedorora. Pamoja na kufundishwa na mtu aliyekuja kuwa cardinali nchini bado ukakosa wito wa kuwa paroko mkuu? Ungefundishwa na padri wa kawaida ingekuwaje? Ungedrop seminary mapema sana nadhani. Hahahahaha
Ulisoma seminary gani?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wamemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo ili kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake.

Rais na Mkewe wamekutana na Muadhama Kardinali Polycarp Pengo katika makazi yake Kurasini jijini Dar es Salaam.
POLC2.jpg

POLC3.jpg

POLC1.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
 
Back
Top Bottom