Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,258
2,000
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe, Mama Janeth Magufuli wamemtembelea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam, Muadhama Kardinali Polycarp Pengo ili kumpa pole kufuatia kifo cha dada yake.

Rais na Mkewe wamekutana na Muadhama Kardinali Polycarp Pengo katika makazi yake Kurasini jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam Muadhama Kardinali Polycarp Pengo.
 
malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,863

Tumuuombee Baba Kardinali Polycarp Pengo. Bado hajawa fiti kabisa. ukicheki picha zake nyingi hapo utagundua. Sina maana mbaya. Si mkuu anatuhimiza tumuuombee.
 
bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,040
2,000
Kitengo kikuu kimetembelewa na subordinate dah for the first time I can see mama Janeth is smiling.

[HASHTAG]#BringbackBenAlive[/HASHTAG]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom